Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Vibaya??
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
 
Hizi biashara ilipaswa kufanywa na private sector Mana wao wanaufatiliaji wa karibu, shirika la umma wengi watageuza kupiga deal na kusafirisha ndugu zao na michepuko yao bure, hii ni hasara kubwa. Watanzania hatuna uzalendo wa kusimamia haya mashirika.
 
daaa huyu mtu haondoki leo! haya ni maandalizi, iweje afanye haya pas na shaka akija mwingine atafyekelea mbali?? awamu hii tumepatikn
 
NAELEWA shida ni kwamba shirika litaingia katika hasara kutokana na gharama za uendeshaji hayo mabasi afadhali waendele kutumia magari yao madogo na mabasi ya abiri kama awali walikua wakilipa gharama ndogo wakija katika haya mabasi yao watalipia gharama kubwa kutokana na basi lao.ni.vifurushi tu wakati mabasi ya kawaida ni abiria vifurushi ni.ziada tu viwe visiwe basi.likipata.abiria.limeenda
wanaongelea vifurushi vinavyopelekwa posta.. sio kila kifurushi boss..
Posta huwa wanasafirisha barua na vifurushi
 
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.

Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
nchi kama UJERUMANI ndio walianza kufanya hivyo mana tike tzao unazipata posta ila sasa wale ni wastarabu sana tu. Mnakumbuka shirika la posta liliwahi kuanzisha biashara ya Internet kila sehem ambapo posta ilikuwa inaptaikana, walichukura raundi ya maika mingapi? shirika la umma haliwezi kufanya biashara, biashara ya mabasi inatakiwa iwe biasahra ya mtu binafsi ndio unaweza, watu watapiga dili yatakosa spea yatapaki basi pesa hazionekani
 
wanavo jua kusachi vifurushi siwezi wapa mizigo kibao inapotea uko posta
 
umajikakamua uku dar umenunua kiatu cha timberland 150k natuma uko arushani alfu naambiwa kipaseli akionekani !nitaanzaje kudai serikal ? bora nitume kwenye machame bus konda akipoteza mzigo wangu nabembea nae
 
Sina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.

1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).

2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).

3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)

4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Umewaza nilivyowaza
 
NAELEWA shida ni kwamba shirika litaingia katika hasara kutokana na gharama za uendeshaji hayo mabasi afadhali waendele kutumia magari yao madogo na mabasi ya abiri kama awali walikua wakilipa gharama ndogo wakija katika haya mabasi yao watalipia gharama kubwa kutokana na basi lao.ni.vifurushi tu wakati mabasi ya kawaida ni abiria vifurushi ni.ziada tu viwe visiwe basi.likipata.abiria.limeenda
wanapakia abiria na ku support mizigo yao..
making profit kwa abilia plus more profit kwa vifurushi..
 
wanagari za mizigo...
Business iko slow wanaongeza kipato kwa mabasi...

Its a wrong strategy.

Waooreshe biashara yako na mazingira yake nchi nzima kwahiyohiyo fedha walonunulia mabasi.

Sasa hayo mabasi watataka kubeba na abiria?
 
Its a wrong strategy.

Waooreshe biashara yako na mazingira yake nchi nzima kwahiyohiyo fedha walonunulia mabasi.

Sasa hayo mabasi watataka kubeba na abiria?
Yes... biashara ya barua huwezi kuboresha baada ya kuja social media na mabasi binafsi kubeba pesa, barua na vifurushi..
Wanajikwamua kibiashara.
Yes yanabeba abiria na vifurushi vya wateja wao...
 
Back
Top Bottom