Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
ChakaHiger
Ulaya? Kama hapa si jambo jipya labda kama umezaliwa juzi, yalikuwepo.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Dar kwenda Mbeya, ilikuwa inasafiri usiku.hii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
Safi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!
Hapo yapo kwenye meliSina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Yaani Mkuu Badala Ya Kuwaza Huduma Inaboreshwa Wewe Mwenyewe Umewaza Rangi?
Ulitaka Rangi Gani Sasa Ama Ulitaka Ile Ya Dhahabu [emoji2][emoji1][emoji28][emoji23][emoji16][emoji16]
Siyo ubunifu ni kukopi na kupesti kwani zamani yalikuwepo.Sasa Huu Ubunifu Usijekuwa Kama UDA
Maana Napata Hofu Na Mashaka Ila Sasa Tutapanda
Naamini Serikali Ya Viwanda Itatoa Maelekezo Watumishi Wapande Ndinga Kama Kwenye Ndege Ulivyokuwa
Ulitaka yawe kijani na chata ya #HAPAKAZITUU kama ile ndege iliyo park JoBerg?Safi sana, ila sijapenda rangi za hayo Mabasi lkn siyo ishu, vinginevyo big up Shirika letu!
Hapo wasiendee kuuwa makampuni binafsi kwa kutumia nguvu ya dolla, ushindan wa biashara uwe sawa.
Na amri juu kuwa watumishi wa umma ni marufuku kusafiri na Najmunisa au Kibo Bali lazima iwe TPC bus. Hutaki no refundyatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.