dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
utakuta nauli from dsm to bukoba ni 25,000/-
mabasi binafsi lazima yafe kifo cha mende
mabasi binafsi lazima yafe kifo cha mende
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
We jamaa wewe toka jf haraka na uende fbNIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
Ushauri murua kabisa. Eti wanasafirisha abiria kwani binaadamu nae amekua kifurushi?Sikatai wana lengo jema lakini strategically kibiashara wako "wrong".
Wangenunua Vans zipo kubwa na ndogo halafu malori madogo yenye uwezo wa kubeba barua na vifurushi vya kanda moja kwenda kanda ingine.
Watumie pesa waliyo nayo kuboresha mifumo ya kutuma barua za kanda au zones, na kila zone inakuwa ya kisasa, kwa kuwepo depots na "sorting offices" za uhakika.
Pia wasogeze huduma hadi vitongojini kuitangaza huduma ya posta na kuwaelimisha watu matumizi ya posta na kubuni huduma mpya.
Huko wanaanzisha kitu chaitwa "retail business with post office" na hapo wanaongeza idadi wa watu wanaojiajri na kuajiriwa.
Kwa lugha ingine yaitwa "post office franchise".
Yaani mtu binafsi anaendesha na kutoa huduma za post na anaajrri watu wake na hapo anachanganya huduma za posta na shughuli zingine.
Wajifunze haya mambo yapo hata nchi jirani tu haina haja ya kwenda mbali.
Ila hakuna nchi yoyote duniani ambayo yatumia mabasi kusafirisha barua, vifurushi na abiria, hiyo ni "unnecessary monopization".
Biashara ya kusafirisha abiria mikoani, iachiwe wafanyao biashara hiyo.
Una umri gani?Sasa figisu kwa akina NEWFORCE na RUNGWE EXPRESS zitaanza hivi karibuni , yale yale ya FASTJET !
Aisee!daaa huyu mtu haondoki leo! haya ni maandalizi, iweje afanye haya pas na shaka akija mwingine atafyekelea mbali?? awamu hii tumepatikn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], asante kwa kuiona future bossyatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
Huna taarifa tu, hii sasa labda ni maboresho na upanuzi zaidi..Badala ya kubuni usasa ktk huduma za posta wahamia kupost watu,
Wameanza na Mtwara to masasi tata lao lenye rangi hiyohiyo kumbe imenoga sawa lkn naona lengo n kupunguza gharama ya ndege kwa vifurushi ili zipande mabas, lbda tufe tutayaona mengi
Kwa sasa Shirika La Posta wana Basi Moja dogo linalofanya safari zake Makambako to Songea Daily,ni TATA hivi wamefanikiwa ndio maaana imewapa MOYO wa kuendelea na biashara hii!
MmhhHatua hiyo itawagharimu sana mbele ya safari.
Duh!Serikali hii inawaonea gere makampuni binafsi ya biashara na inatamani biashara zote zifanywe na serikali ila tu haina uwezo na imeshapigwa bao.
Kimefeli kabla ya kuanza.
Wataanza kuajiri ndugu zao na kuwalipa mishahara ya ajabu ajabu isiyoendana na soko. Wizi wa vipuri etc. Running costs zitakuwa balaa.
Likidmu miaka miwili, itakuwa muujiza.
Uchawi huuLazima life
Watch this space!
na tochi tuwe tunapigwa wote siyo sisi tuHapo wasiendee kuuwa makampuni binafsi kwa kutumia nguvu ya dolla, ushindan wa biashara uwe sawa.
Kama barua wanasafirisha kwa mwezi mzima wataweza vifurushi ?Pengine sisi wa ushagoo parcel zetu zitakua zinatufikia kwa wakati. Niwatakie kila la kheri katika hilo.
Muda utaongea. Labda waje kuendesha Wajapan.This mindset dah!
Posta na expertise ya kuendesha kampuni ya usafiri wapi na wapi?Ndio ukweli mchungu!
UDA type thing all over again!
Posta na expertise ya kuendesha kampuni ya usafiri wapi na wapi?