Technology inajibu changamoto zote ulizo zitaja.Naona wanatengeneza njia ya kupiga pesa kupitia hii biashara ya mabasi. Story zitaanza fulani kanunua spea kwa bei kubwa, leo abiria hawakuwepo tulienda kwa hasara wakati ukweli ni kuwa gari ilijaa pomoni, gari haijaharibika utaambiwa tumenunua spea njiani, nk.
Chura FC wana allergy na rangi ya mikiaKijani na njano
Labda kama ilikuwa zamani. Lakini ukituma kwa njia ya ems hata wiki haishi.Kama barua wanasafirisha kwa mwezi mzima wataweza vifurushi ?
Critical thinking....! Nakuunga mkonoSina hakika sana kama hiyo picha ni Tanzania kwa sababu zifuatazo.
1. Hayo mazingira yaliyopo hayo magari. (Inaonekana yako yard au indoor parking, kibongo ni ngumu).
2. Rangi ya hayo mabasi (Ni nadra sana kwa taasisi ya Umma hapa Tz kuwa na colour choice nyekundu).
3. Maandishi ya Kiingereza ubavuni mwa basi (Yaani washindwe hata kuandika hapa kazi tu! Wasiweke picha ya bendera ya Tz!)
4. Mantiki ya kuanzisha hiyo biashara (Haingii kabisa akilini)
Vipi sijawahi kuyaona au ulikuwa ufisadi.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Safi sanaMagari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Lini utakua positive na nchi yako?yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
Kama yataharibika kabla ya muda uliotarajiwa lazima tuseme mkuu.Leo karibu kila mtu anasifia hili swala la kuwepo kwa haya mabasi, ikitokea baada ya mwaka mabasi kama manne yawe hayapo barabarani kwa sababu ya ubovu au ajali, hawahawa waliosifia wataanza kuponda hii idea kuwa ilikuwa ni kutumia vibaya hela za serikali kununua mabasi.
Wabongo wenzangu tuwe wavumilivu pindi changamoto zikianza.
Chanzo cha habari tafadhali!Maana zsmani iliwahi fanya na rangi ya magari ni hiyohiyo.Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.
Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462
Walishawahi wakachemka!Wamechelewa sana kuleta huduma hiyo ilitakiwa iwe inafanyakazi
Hata Dar-Iringa-Mbeya,yalikuwepo!hii kitu ilikuepo though haikua mkoa kwa mkoa,nilikua naona post bus lilikua linatoka mtwara kwenda masasi kila siku kwa siku za jtatu mpaka ijumaa,abiria walikua wanalipenda sana.Sina hakika kama posta mtwara wanaendelea
Thread ya 2019 sidhani hata kama yalianza kazi ...labda maharage aufufue mradiWamechelewa sana kuleta huduma hiyo ilitakiwa iwe inafanyakazi
2019Safi sana
Thread ya 2019 sidhani hata kama yalianza kazi ...labda maharage aufufue mradi