thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Technology inajibu changamoto zote ulizo zitaja.Naona wanatengeneza njia ya kupiga pesa kupitia hii biashara ya mabasi. Story zitaanza fulani kanunua spea kwa bei kubwa, leo abiria hawakuwepo tulienda kwa hasara wakati ukweli ni kuwa gari ilijaa pomoni, gari haijaharibika utaambiwa tumenunua spea njiani, nk.