Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.

Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.
20190831_204453.jpeg
 
Sasa Huu Ubunifu Usijekuwa Kama UDA
Maana Napata Hofu Na Mashaka Ila Sasa Tutapanda
Naamini Serikali Ya Viwanda Itatoa Maelekezo Watumishi Wapande Ndinga Kama Kwenye Ndege Ulivyokuwa
 
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
 
NIONAVYO.WANALAMBA SUMU YA PANYA.KAMA GLUCOSE EEE ILO..BASI.KUSAFIRISHA.VIFURUSHI.NI HASARA SANA MFANO.KUNA MAKAMPUNI YA USAFIRISHAJI.(MAFUSO) JANGAWANI PALE WANALIPISHA BOX LAKO.LABDA.,,2000 KUSHUSHA.,,1000. KUTOKA DAR.MPAKA KILIMANJARO MZIGO.WAKO UKIINGIA SAA 7 GARI.INAYOPAKIA.KAMA NI.SAA 7 IYOIYO ITAPAKIA.ASUBUI.UNAPOKEA.MZIGO.TOFAUTI.NA MABASI KUNGOJE NJIANI.WAO.WAKIAMBIWA.SHUSHA BOX LAKO.BREKI.MOSHI WAKIFIKA WANAKUULIZA OFIS.YAKO.ILIPO.KAMA HAPAFAI.FUSO.KUJA.WANA KUITA AU.TOA.AGIZO UACHWE.WAPI.OFISINI.KWAO.AU KWA.MIONGONI.MWA WATEJA.WAO
 
Magari yake yatakua na namba SU hata kama yanafanya biashara.

Kwangu naona ni IDEA nzuri kuounguza gharama za kusafirisha vifurushi.View attachment 1194462

Kwanini wasinunue magari madogo na malori mawii matatu kwa kuanzia.

Kununua mabasi ni kukosa mkakati bora.

Kila mkoa uwe na fleet ya magari ya kusafirisha mizigo na vifurushi pamoja na malori miwili matatu kulingana na mahitaji na biashara.

Fedha zingine ziboreshe depots zao kuziweka ziwe za kisasa.

Yaani sisi waafrika, hatubadiliki kabisa.
 
Back
Top Bottom