Shirikisha Watu Wafuatao Kwenye Utafutaji wa Fedha Kwa Ajili ya Taasisi Yako

Volunteer umuweke kwenye shughuli za utafutaji wa pesa kwa ajili ya ukuzaji wa taasisi? Hasa taasisi binafsi? Unacheza aisee

Kabla ya kuleta hizo mpango mkakati timilifu wa transfers za hizo resources ATAKUWA NA NAFASI NZURI YA KUANZISHA TAASISI YAKE

Hasa akishaanza kuwa na connection inayoshawishi kwa fund raiser wenyewe baaasi
 
Tena wa kibongo
 
Uzi ulikua mzuri sana, nilitaka ku mtag mkuu fulani wa taasisi kwenye uzi huu lakini comment za mwanzoni zimeharibu.
 
Mkuu vipi kwa taasisi mpya kabisa ambayo haina zaidi ya miaka miwili inajitafuta bado haijawa na uzoefu hao Paid staff staff walalipwa vipi na hata hao volunteer wanalipwa vipi ...nafukiri kwa sauti kwa muda wa kipindi cha kusubiri fund vipi taasisi ijiendeleahe kuepuka kufutwa maana navoskia lazima ripoti za kila mwaka ziandaliwe kama kawaida ..ada za mwaka zilipwe na haijalishi unamradi au Huna.. kwa kipindi Cha kusubiri kupata mfadhiri nn hasa kinatakiwa kifanyike ili kumantain sustainability ya org?
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Good!!

Organisation yako yaitwaje kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…