Tulishaelezea muda mrefu, Simba wana uharibu uwanja kwa kuzika vitu vya hovyo na makafara yasiyo faa.
Nyasi zile ata waweke mbolea na kumwagilia kila siku ni kazi bure.
Zile nyasi zina fungus wa makafara ata wamwagilie zitabaki za njano kwenye baadhi ya sehemu.
Baada ya muda ile njano itazidi kuongezeka katika maeneo ya uwanja.
Wanatakiwa waondoe udongo wote wajuu kwa kuchimba futi mbili na kuja na udongo mpya na kupanda nyasi mpya uku wakiondoa mabaki ya makafara kwa kuchoma moto.
Wakataze kabisa timu kuingia kufanya tambiko kabla ya mchezo na mazoezi yote yawe chini ya uangalizi.
Usione kaulimbiu ya Kwa Mkapa atoki mtu ukafikirinni utani, kuna vitu vichafu vimezindika uwanja.