Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

Nimeona. Makato ni kwa percent serikali, haikosi hela ya kuusuka huo uwanja wakishirikiana na tff.
Serikali ina Viongozi wa Michezo kuanzia Waziri mpaka katibu mkuu, Na kuna Meneja wa uwanja ina maana huyu Meneja wa uwanja hajui mambo ya Michezo na usimamizi wa Uwanja.
 
Serikali ina Viongozi wa Michezo kuanzia Waziri mpaka katibu mkuu, Na kuna Meneja wa uwanja ina maana huyu Meneja wa uwanja hajui mambo ya Michezo na usimamizi wa Uwanja.
Kuna sehemu tunakwama katika hizi nafasi tunazopewa, nadhani kuna haja ajira ziongezeke, ili kusiwe na kulala kwenye kazi tunazopewa. Inshort mazoea. Usimamizi tu wa uwanja unatushinda.
 
30bil zilivyotoka tulihoji ni aje mbona nyingi sana mnajemga upya? Kimeliwa banaa duuuu
 
Billions Zaidi Ya 30 Zimetafunwa Na Hakuna Kilicho Fanyika,,Na Derby Tunampango Ikachezwe Zanzibar Aman Stadium Au Mnasemaje?
 
Back
Top Bottom