Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia Uwanja wa Benjamin Mkapa

Uwanja utasikia mara Mwamposa yupo na kundi lake la wahumini

Mara mashindano ya koroani, vurugu tupu
Inakuaje nao wanapata kibali cha kufungia viwanja vingine wakati hakuna kitu wanajua kuhusu utunzaji wa viwanja kama cha kwao tu kinawashinda.
 
Simba walitaka kwenda kufukia mbizi humo uwanjani, sasa unategemea uwanja uwanja utakuwaje na ubora?

Kama kuhudumiwa unahudumiwa tena na wale wachina tatizo ushirikina.
Uwanja kumbe hauna mwenyewe juzi uliwahiwa na viongozi wa wale wahuni kwa maagizo asingie mtu yeyote kamishina na
Matokeo mabamsa wakazuia mazoezi ili Simba wasifukue walichofukia wao.
Hatari sana!
 
Kama ni kweli hii itakuwa ni hujma na itaondoka na watu wengi sana hadi ngazi za juu kabisa. Joto lipo juu sana sasa hivi, wawe makini saaana.
 
Ifike wakati viwanja vya michezo vibakie kuwa vya michezo na siyo events nyingine zinazoharibu uwanja🚮
 
Nitumie na hayo maelezo chini uliyoyakata
1000257039.jpg
 
Simba walitaka kwenda kufukia mbizi humo uwanjani, sasa unategemea uwanja uwanja utakuwaje na ubora?

Kama kuhudumiwa unahudumiwa tena na wale wachina tatizo ushirikina.
Phd yako itakua ya mbuzi...kwa maelezo haya tu.
 
Tulishaelezea muda mrefu, Simba wana uharibu uwanja kwa kuzika vitu vya hovyo na makafara yasiyo faa.
Nyasi zile ata waweke mbolea na kumwagilia kila siku ni kazi bure.
Zile nyasi zina fungus wa makafara ata wamwagilie zitabaki za njano kwenye baadhi ya sehemu.

Baada ya muda ile njano itazidi kuongezeka katika maeneo ya uwanja.

Wanatakiwa waondoe udongo wote wajuu kwa kuchimba futi mbili na kuja na udongo mpya na kupanda nyasi mpya uku wakiondoa mabaki ya makafara kwa kuchoma moto.

Wakataze kabisa timu kuingia kufanya tambiko kabla ya mchezo na mazoezi yote yawe chini ya uangalizi.
Usione kaulimbiu ya Kwa Mkapa atoki mtu ukafikirinni utani, kuna vitu vichafu vimezindika uwanja.
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesaini mkataba wa makubaliano ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) ya China ambao utagharimu zaidi ya Sh. bilioni 31 hadi kukamilika Julai 2024.

Hayo yamesemwa Dar es Salaam Julai 27, 2023 na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Pindi Chana baada ya kusaini mkataba na kampuni BCEG ya China ambao pia ndio waliojenga uwanja.

Maeneo yaliyopangwa yakarabatiwe ni pamoja na.
1. vyumba vya wachezaji,
2. chumba cha waandishi wa
Habari,
3.Eneo la watu mashuhuri (VVIP), 4. kubadilisha viti vyote vya kukalia mashabiki uwanjani hapo,
5. ubao wa kuonesha matokeo,
kuweka mfumo mpya wa TEHAMA, kubadilisha eneo la kuchezea na seti mbili za magoli ambazo zitatumika uwanjani hapo.

Maeneo mengine ambayo yatafanyiwa ukarabati ni viti vya benchi la ufundi na wachezaji wa akiba,
7. mfumo wa umeme,
8. mfumo wa sauti,
9. Eneo la kukimbilia wanariadha, 10. chumba cha VAR,
11. lifti mbili mpya,
12. mfumo wa taa,
13. mfumo wa maji taka,
14. mgahawa pamoja na vitu vingine ambavyo vimepita muda wa matumizi kwani vilitakiwa kutumika kwa muda wa miaka saba tu

BILIONI 31 IMELIWA BILA KAZI YOYOTE.
 
Baada ya game ya simba v azam kuna mdau alihoji hapa jukwaani kuhusu maboresho ya uwanja wenu ambayo yana almost 2 yrs akaonekana kichaa
 
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
Inaonekana bado mchanga, kwasasa ni ngumu kwako kuelewa.
Ukishakua utaelewa kinacho ongelewa.
Ukona mjadala uu elewi usitukane watu wewe pita tu.
 
Nafasi bado tunayo,TFF na Serikali isimame na Simba.Tusikubali haya ya Hujuma za CAF
 
Inaonekana bado mchanga, kwasasa ni ngumu kwako kuelewa.
Ukishakua utaelewa kinacho ongelewa.
Ukona mjadala uu elewi usitukane watu wewe pita tu.
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
HAwa wapuuzi Simba sc wamezoea kuchezea mamlaka wakacheze na bibiyao mkubwa zamu yaooo sasa

Walikataliwa kufanya mazoezi wakaicheza na mamayao wakahairishiwa mechi

Sasa bibii yao kaamua kufungia UWANJA YAAN HATA wasiwaze kuusogeleaaaa

Caf wamefungia UWANJA WA Benjamin mkapa ambao wamezoea kuloga na ku...

Swali kwa Hilo wameambiwa watafute UWANJA wao WA kucheza

JE Simba watahairisha mechiii ama wanakimbilia znz amani

Kila la kheri na uhuni wenu
 
Yanga wakionesha udhaifu wa TFF tunawajia juu, TFF ni uchafu tu ule.
Mkuu TFF haiusiani na Uwanja wa Taifa na TFF haina Viwanja vya mpira , mfano Uwanja wa Azam ukifungiwa italaumiwa TFF, Serikai inachukua % ya Mapato kwaa kila Mechi zinazo cheza na Tff wanachukua % kwa kila mapato ya timu mwenyeji.
 
Hivi malipo ya matumizi ya uwanja na mapato hulipwa tff au kwa control number za serikali ya hela huenda wapi? Mfano yanga au simba wakiuza soldout zao.
Serikali inachukua % zake na TFF uchukua % kwaajili ya gharama za mchezo na % nyingine inaenda kwenye Chama cha mpira cha mkoa wa Dar yani makato ni mengi
 
Serikali inachukua % zake na TFF uchukua % kwaajili ya gharama za mchezo na % nyingine inaenda kwenye Chama cha mpira cha mkoa wa Dar yani makato ni mengi
Nimeona. Makato ni kwa percent serikali, haikosi hela ya kuusuka huo uwanja wakishirikiana na tff.
 
Back
Top Bottom