Kasongo yeeyee
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 308
- 654
We nawe CHADEMA wameingiaje hapo? Au unaugua CHADEMAphobia?We ndio unawalisha? Ebu acheni kulaumu watu kwa kufeli kwenu nyie CHADEMA. Jitafakarini wenyewe ndani ya chama na sio kulaumu watu.
Pia nakushauri kitu mkuu, usijipe umuhimu usionao kwa maisha ya watu. Wacha watu wafanye kile wapendacho.
Mipira ichezwe usiku,ili mchana watu watanye kazi.MKUU, kazi wanafanya maana Serikali haitoi chakula wala bundle la kushinda mitandaoni au vijiweni wakishashiba. Hii nchi watu wana stress, futa burudani ya soka uone.
Yupi mzee Sholo mwamba manfongoYule mzee mwenye macho kama bundi
Bajeti ya maboresho ya uwanja huu ilikuwa Bilion 32 awali na baadae wakaongeza zaidi! Ajabu ni kuwa mwaka wa tatu sasa wanasema kazi inaendelea na ukiingia ndani unashangaa uwanja unazidi kuchakaa badlaa ya kuboreshwa! Nadhani upigaji huu umevuka mipaka! Usishangae kuambiwa ukarabati umefikia 95% na mkwanja umeshakata!Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April
Huu uwanja toka msimu unaanza hautumiki kwa mechi za ndani walidai kua wanaufanyia marekebisho, hii ncho yetu Siasa nyingi sana,
TFF inahusikaje kwenye uwanja wa Taifa?Yanga wakionesha udhaifu wa TFF tunawajia juu, TFF ni uchafu tu ule.
Kala magamba kama BundiHivi waziri wa michezo na utamaduni ni nani vile
Umenijibu au unaniuliza tena? Mimi sifahamu chchte nipe majibu kama unajua.
Kila siku anabadilishwa! Usije ukashangaa ukiambiwa ni Prof. Kabudi, ambaye sina uhakika kama aliwahi kushiriki mchezo wa aina yoyote ile katika maisha yake!Hivi waziri wa michezo na utamaduni ni nani vile
Huyo huyo Mzee wa Al Kasus ya MadagascarYupi mzee Sholo mwamba manfongo
Ni yeye.Kila siku anabadilishwa! Usije ukashangaa ukiambiwa ni Prof. Kabudi, ambaye sina uhakika kama aliwahi kushiriki mchezo wa aina yoyote ile katika maisha yake!
Bilion 30 zimeishia kwenye Taa tuHivi huu uwanja siumeacha kutumika zaidi ya musimu miwili kwa madai wa kufanyiwa matengenezo?
Ndio maana hata watu wasiostahili wanaweza kuamua chochote kuhusu huo uwanja huku aibu ya kitaifa ikizidi kuzizima.Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April
Huu uwanja toka msimu unaanza hautumiki kwa mechi za ndani walidai kua wanaufanyia marekebisho, hii ncho yetu Siasa nyingi sana,
Ha ha ha ha ha we utaletewa mabaunsa.Mara ya mwisho kutumika ni tarehe 8, siku Yanga wameenda kurukaruka bila refa wala kamisaa.
Huenda wameuharibu
Waziri yupo....anafanya kazi kubwa ya kula na ku💩Hivi waziri wa michezo na utamaduni ni nani vile
Kwa hiyo Simba wakiuloga unakuwa kiyanga yanga maana nyasi zinavaa jezi ya Yanga.Tulishaelezea muda mrefu, Simba wana uharibu uwanja kwa kuzika vitu vya hovyo na makafara yasiyo faa.
Nyasi zile ata waweke mbolea na kumwagilia kila siku ni kazi bure.
Zile nyasi zina fungus wa makafara ata wamwagilie zitabaki za njano kwenye baadhi ya sehemu.
Baada ya muda ile njano itazidi kuongezeka katika maeneo ya uwanja.
Wanatakiwa waondoe udongo wote wajuu kwa kuchimba futi mbili na kuja na udongo mpya na kupanda nyasi mpya uku wakiondoa mabaki ya makafara kwa kuchoma moto.
Wakataze kabisa timu kuingia kufanya tambiko kabla ya mchezo na mazoezi yote yawe chini ya uangalizi.
Usione kaulimbiu ya Kwa Mkapa atoki mtu ukafikirinni utani, kuna vitu vichafu vimezindika uwanja.
Simba walitaka kwenda kufukia mbizi humo uwanjani, sasa unategemea uwanja uwanja utakuwaje na ubora?Serikali na TFF hawapo pamoja kwenye huo Uwanja ingawaje tff walitakiwa wawe washauri wakubwa kwa Serikali hata kuunda kamati ya wataalamu ya kuutunza uwanja wa Mkapa sio kama wanavyoenda kienyeji kama sasa watafungiwa sana.
Ndio maana wahuni juzi kati kupitia viongozi wao waliuteka na kufukuza kila aliyetaka kuingia na kufanya mazoezi kumbe hauna atakaye wahi kwa hiyo siku ni wake hata meneja wala kamishina aliogopa kutoa maamuzi kwa kuhofia usalama wake!Inasemekana Shirikisho la Soka Afrika CAF limeufungia uwanja wa Benjamin Mkapa kwa muda kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch). Ripoti inaonyesha pitch mbovu na inazidi kuzorota. Wameitaka TFF kuchagua kiwanja kingine kwajili ya Robo fainali ya Shirikisho ya Simba hapo tarehe 9 April
Huu uwanja toka msimu unaanza hautumiki kwa mechi za ndani walidai kua wanaufanyia marekebisho, hii ncho yetu Siasa nyingi sana,
Matokeo mabamsa wakazuia mazoezi ili Simba wasifukue walichofukia wao.Ndio maana wahuni juzi kati kupitia viongozi wao waliuteka na kufukuza kila aliyetaka kuingia na kufanya mazoezi kumbe hauna atakaye wahi kwa hiyo siku ni wake hata meneja wala kamishina aliogopa kutoa maamuzi kwa kuhofia usalama wake!
Uwanja utasikia mara Mwamposa yupo na kundi lake la wahuminiSerikali na TFF hawapo pamoja kwenye huo Uwanja ingawaje tff walitakiwa wawe washauri wakubwa kwa Serikali hata kuunda kamati ya wataalamu ya kuutunza uwanja wa Mkapa sio kama wanavyoenda kienyeji kama sasa watafungiwa sana.