Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Inakuaje nao wanapata kibali cha kufungia viwanja vingine wakati hakuna kitu wanajua kuhusu utunzaji wa viwanja kama cha kwao tu kinawashinda.Uwanja utasikia mara Mwamposa yupo na kundi lake la wahumini
Mara mashindano ya koroani, vurugu tupu
Uwanja kumbe hauna mwenyewe juzi uliwahiwa na viongozi wa wale wahuni kwa maagizo asingie mtu yeyote kamishina naSimba walitaka kwenda kufukia mbizi humo uwanjani, sasa unategemea uwanja uwanja utakuwaje na ubora?
Kama kuhudumiwa unahudumiwa tena na wale wachina tatizo ushirikina.
Hatari sana!Matokeo mabamsa wakazuia mazoezi ili Simba wasifukue walichofukia wao.
Nitumie na hayo maelezo chini uliyoyakata
Phd yako itakua ya mbuzi...kwa maelezo haya tu.Simba walitaka kwenda kufukia mbizi humo uwanjani, sasa unategemea uwanja uwanja utakuwaje na ubora?
Kama kuhudumiwa unahudumiwa tena na wale wachina tatizo ushirikina.
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.Tulishaelezea muda mrefu, Simba wana uharibu uwanja kwa kuzika vitu vya hovyo na makafara yasiyo faa.
Nyasi zile ata waweke mbolea na kumwagilia kila siku ni kazi bure.
Zile nyasi zina fungus wa makafara ata wamwagilie zitabaki za njano kwenye baadhi ya sehemu.
Baada ya muda ile njano itazidi kuongezeka katika maeneo ya uwanja.
Wanatakiwa waondoe udongo wote wajuu kwa kuchimba futi mbili na kuja na udongo mpya na kupanda nyasi mpya uku wakiondoa mabaki ya makafara kwa kuchoma moto.
Wakataze kabisa timu kuingia kufanya tambiko kabla ya mchezo na mazoezi yote yawe chini ya uangalizi.
Usione kaulimbiu ya Kwa Mkapa atoki mtu ukafikirinni utani, kuna vitu vichafu vimezindika uwanja.
duh!Phd yako itakua ya mbuzi...kwa maelezo haya tu.
Inaonekana bado mchanga, kwasasa ni ngumu kwako kuelewa.Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.Inaonekana bado mchanga, kwasasa ni ngumu kwako kuelewa.
Ukishakua utaelewa kinacho ongelewa.
Ukona mjadala uu elewi usitukane watu wewe pita tu.
Sio poa. Si dhani kama alipenda au aliomba awe vile.Yule mzee mwenye macho kama bundi
Mkuu TFF haiusiani na Uwanja wa Taifa na TFF haina Viwanja vya mpira , mfano Uwanja wa Azam ukifungiwa italaumiwa TFF, Serikai inachukua % ya Mapato kwaa kila Mechi zinazo cheza na Tff wanachukua % kwa kila mapato ya timu mwenyeji.Yanga wakionesha udhaifu wa TFF tunawajia juu, TFF ni uchafu tu ule.
Serikali inachukua % zake na TFF uchukua % kwaajili ya gharama za mchezo na % nyingine inaenda kwenye Chama cha mpira cha mkoa wa Dar yani makato ni mengiHivi malipo ya matumizi ya uwanja na mapato hulipwa tff au kwa control number za serikali ya hela huenda wapi? Mfano yanga au simba wakiuza soldout zao.
Nimeona. Makato ni kwa percent serikali, haikosi hela ya kuusuka huo uwanja wakishirikiana na tff.Serikali inachukua % zake na TFF uchukua % kwaajili ya gharama za mchezo na % nyingine inaenda kwenye Chama cha mpira cha mkoa wa Dar yani makato ni mengi