Usikubali kushikwa akili mkuu. Kwa unataja Azam, je kwenye Klabu yenyewe unajua bakharesa kaweka bei gani? Umetaja udhamini je NMB inashinda Sports Pesa? Je bajeti ya simba SC kwenye usajili sawa na Azam FC?Kweli mkuu, ni wakuwaacha tu!
Haya mambo mbona yapo Liverpool na Everton walikuwa wakitumia kiwanja kimoja hapo zamani.AC Milan na Inter Milan zina utajiri mkubwa lakini hazina viwanja, hivyo kiwanja si kigezo kikubwa cha kupimia utajiri wa klabu. Kuna timu zingine ukiodoa mapato ya viingilio vyanzo vingine vya mapato havijulikani, hivyo kwa nje unaweza kujua timu ni tajiri kumbe choka mbaya.
Hivi we unataka ujibiwe ki namna gani? Mbona una kichwa kigumu namna hiyo.
Haya umeng'ang'ana na Ofisi tu, hiyo hapo chini ni nini? View attachment 713144
Habari hii Haji Computer anaijuaNimeshajibu hapo juu # 29 ndo maana kwenye thread iko sawa mkuu.
Na bado waliendelea Kuwa matajiriHaya mambo mbona yapo Liverpool na Everton walikuwa wakitumia kiwanja kimoja hapo zamani.
Wewe ndo mwehu sasa, kama Hujui vigezo vinavyotumika ni bora ukauliza.Awa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki
Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Wao wanaangalia hiyo asset ipo sehemu gani, unaweza kuiuza kiasi gani au unaweza kukusanya pango kiasi gani.utazungumzia lile jengo la kibiashara pale msimbazi ;sindio!! unajua fadha yake inakwenda wapi? kama mtu kuwezi kufanya saving, huwezi kuwalipa wachezaji wako mpaka ulielie kwa wafadhili then utasema uana rasilimali?
Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.
Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa na Esperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.
Klabu tajiri zaidi Barani Afrika View attachment 712984
Chanzo: MwanaspotiApp
Intermilan ac Milan zote hazina Viwanja na ni kati ya timu tajiri barani ulaya kigezo cha uwanja kisikupumbaze ndugu..!!Tajiri kuliko tp mazembe?
Tanzania club tajiri Azam.
Tajiri miaka 50 huna Kiwanja chako!
amehesabu utajiri wa Mo...Huu ni uthibitisho tosha kuwa data nyingi za taaisisi hizi za kimataifa kama FIFA, CAF, World Bank na kadhalika huwa zina kasoro kubwaAwa caf wehu sana.team haina hata uwanja eti inaipiku utajiri zamaleki
Au wamehesabu utajiri wa Mo wakaufanya ndio wa mikia.
Naona Vyura FC umepanik.. Kujiona mjanja kumbe mjinga tu, andamana basi hadi JFKawadanganye mbumbumbu wenzako huko! Kwenye hiyo Mwanaspoti App, mbumbumbu yeyote anaweza kuposti chochote.
Website ya CAF (CAF - Home) haina kitu kama hicho. Hata hivyo ukweli ni huu hapa:
Who is No.1? Here are the top ten RICHEST football clubs in Africa
Kwa kupitia orodha hiyo hapo juu, utagundua kuwa figures zote kuanzia Klabu ya 1 - 8 ni zile zile kama zilivyowasilishwa na mleta mada.
Tofauti pekee ni Klabu namba 5 ambapo mleta mada katuambia ni Simba wakati kiukweli ni Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Baada ya kubadilisha Klabu namba 5 akaendelea na ukweli kuanzia Klabu na 6 - 8, What a shame to mikia fc!
Huu ni upotoshaji mkubwa wa taarifa na kuifanya JF ikose heshima yake.
CC. Invisible - Kwa hatua za kinidhamu dhidi ya mleta mada.
Wazee wa kufoji!Klabu ya Simba SC ya jijini Dar es salaam imetajwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwa klabu namba 5 kwa utajiri Barani Afrika.
Simba SC imetajwa kuwa na utajiri wa karibu Paund milioni 10.35 ambayo ni sawa na Bilioni 32.3 kwa shilingi ya Tanzania.
Katika orodha hiyo Al Ahly kutoka Misri inaongoza ikiwa na utajiri wa Paund milioni 19.25 ikifuatiwa na Esperance Sportive de Tunis 12.75M na Club Africain 11. 8M zote kutoka Tunisia.
Ya nne Kaizer Chiefs ya kutoka nchini Afrika Kusini ambayo yenyewe inatajiri karibu Paund milioni 10.48.
Klabu tajiri zaidi Barani Afrika View attachment 712984
Chanzo: MwanaspotiApp
Hapa nakuvua nguo mpaka ujione choo kabisa, mjinga wewe!Naona Vyura FC umepanik.. Kujiona mjanja kumbe mjinga tu, andamana basi hadi JF
Hii ni ya tar 16/07/2017 sio ya sasa hivi.Wazee wa kufoji!
Baada ya kukubuhu katika kufoji mikataba ya wachezaji sasa wameanza kufoji data za Kimataifa:
1. Al Ahly (Egypt) – Market Value : € 19,25 m
2. Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) – Market Value : € 12,75 m
3. Club Africain (Tunisia) – Market Value : € 11,80 m
4. Kaizer Chiefs (South Africa) – Market Value : € 10,48 m
5. Mamelodi Sundowns (South Africa) – Market Value : € 10.35 m
6. Zamalek SC (Egypt) – Market Value : € 10,30 m
7. USM Alger (Algeria) – Market Value : € 9.65 m
8. E.S Setif (Algeria) – Market Value : € 8.6 m
9. Raja Casablanca (Morocco) – Market Value : € 8.13 m
10. T.P MAZEMBE (DRC) – Market Value: € 7.70 m
Chanzo: Who is No.1? Here are the top ten RICHEST football clubs in Africa
Alichokifanya Ghazwat ni kuchomoa Klabu ya Mamelodi Sundowns (kwenye nyekundu, namba 5) na kupachika Simba SC. Hii haikubaliki, ni forgery mbaya sana yenye lengo la kupotosha ukweli. Hii ni Zaidi ya kufoji mikataba ya akina Singano na wenzake!