Wazee wa kufoji!
Baada ya kukubuhu katika kufoji mikataba ya wachezaji sasa wameanza kufoji data za Kimataifa:
1. Al Ahly (Egypt) – Market Value : € 19,25 m
2. Esperance Sportive de Tunis (Tunisia) – Market Value : € 12,75 m
3. Club Africain (Tunisia) – Market Value : € 11,80 m
4. Kaizer Chiefs (South Africa) – Market Value : € 10,48 m
5. Mamelodi Sundowns (South Africa) – Market Value : € 10.35 m
6. Zamalek SC (Egypt) – Market Value : € 10,30 m
7. USM Alger (Algeria) – Market Value : € 9.65 m
8. E.S Setif (Algeria) – Market Value : € 8.6 m
9. Raja Casablanca (Morocco) – Market Value : € 8.13 m
10. T.P MAZEMBE (DRC) – Market Value: € 7.70 m
Chanzo:
Who is No.1? Here are the top ten RICHEST football clubs in Africa
Alichokifanya
Ghazwat ni kuchomoa Klabu ya Mamelodi Sundowns (kwenye nyekundu, namba 5) na kupachika Simba SC. Hii haikubaliki, ni forgery mbaya sana yenye lengo la kupotosha ukweli. Hii ni Zaidi ya kufoji mikataba ya akina Singano na wenzake!