mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika.
Alikubaliwa kuhutubia umoja wa Afrika lakini wakuu wa nchi wengi hawakufuatilia. Na baada ya hotuba yake mwenyekiti wa AU alitoa taarifa rasmi kuwa msimamo wa Afrika bado ni NEUTRAL!!
Leo nchi za Amerika ya kusini zimempa makavu kuwa hakubaliwi kuhutubia kikao chao.
South American trade bloc snubs Zelensky.
The Ukrainian president will not be allowed to address the Mercosur summit, AFP reports.
South America’s Mercosur trade bloc has declined a request by Ukrainian President Vladimir Zelensky to speak at its summit, host nation Paraguay said on Wednesday, according to the AFP news agency.