Shirikisho la Umoja wa kiuchumi wa nchi za Amerika ya Kusini zimemkatalia Zelensky kuhutubia kwenye kikao chao

Shirikisho la Umoja wa kiuchumi wa nchi za Amerika ya Kusini zimemkatalia Zelensky kuhutubia kwenye kikao chao

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Imekuwa ni kawaida ya Rais Zelensky wa Ukraine kuhutubia vikao mbali mbali vya kitaifa na kimataifa katika harakati zake za kutaka kuungwa mkono kuiwekea vikwazo urusi. Jitihada hizo zimeshindwa vibaya kwenye mataifa ya mashariki ya kati, Asia, Amerika ya kusini na Afrika.

Alikubaliwa kuhutubia umoja wa Afrika lakini wakuu wa nchi wengi hawakufuatilia. Na baada ya hotuba yake mwenyekiti wa AU alitoa taarifa rasmi kuwa msimamo wa Afrika bado ni NEUTRAL!!

Leo nchi za Amerika ya kusini zimempa makavu kuwa hakubaliwi kuhutubia kikao chao.

South American trade bloc snubs Zelensky.

The Ukrainian president will not be allowed to address the Mercosur summit, AFP reports.

South America’s Mercosur trade bloc has declined a request by Ukrainian President Vladimir Zelensky to speak at its summit, host nation Paraguay said on Wednesday, according to the AFP news agency.
 
IMG_4475.jpg

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mabeberu pia wameanza kujiengua kimtindo!! Vyombo vya habari vya magharibi zimeshaacha kuzipa kipaumbele habari za vita vya ukraine!! Muda mfupi litakuwa "tanga ndugu " tu!!
Magharibi na NATO wamedhamiria kumpa ushirikiano hadi tone la mwisho la askari wa Ukraine.
 
Wapeleke na askari wao wakaliwe.

zele mpumbAVU sana.
Nyie subirini Zelensky atakavyo react - atawaporomoshea matusi wahusika mpaka mtamshangaa. Kama nakumbuka vizuri mapema mwaka huu Zelensky alimsema vibaya kansela wa Ujerumani, kisa? Kamkatalia kumpatia Zelensky silaha nzito na vifaru, hana shukrani kibaya zaidi American Administration inamvibisha kichwa sana, niliwahi kumuona akimjia juu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa eti kwa nini alihamua kukutana na Putin kabla yake - just imagine mzee wa watu alionekana kudhalilika kweli kweli.
 
Waarabu wa Bongo mnamfuatilia sana huyu jamaa Zelensky, ni mpambanaji kwa kweli, our modern day hero, alipewa masaa 24 aachie ngazi ila leo ndiye huyu anafuatiliwa mpaka basi.
 
Tayari hapo Zelensky atawanunia!! Ila hakuna jinsi, itabidi akubali kubeba mzigo wake alioamua kuubeba mwenyewe kwa kutaka kujiunga na NATO wakati ana mgogoro mkubwa na Urusi wa Crimea!!
kwahyo ilikuwa sahihi Urusi kumega jimbo la Crimea ?
 
Back
Top Bottom