Shirima wa Rombo jela miaka 30 kwa dawa za kulevya

Shirima wa Rombo jela miaka 30 kwa dawa za kulevya

Kuoneana tu!

IMG-20261023-WA0021.jpg
 
Ukiona mtu mpaka kafikishwa mahakamani kwa mihadarati hasa bangi na mirungi ujue mazungumzo nje ya mfumo yameshindikana.

Kesi nyingi zinamalizwa juu kwa juu kuliko zinazofika kwa pilato ndiyo maana unaona bado bangi na mirungi imejaa mitaani licha ya adhabu Kali.
 
Back
Top Bottom