Mkuu umenikumbusha mbali sana binafsi kidogo nilizwe nilipomshirikisha mfanyakazi mwenzangu ambaye na yeye ilibakia kidogo alizwe ndipo aliponiambia naibiwa nami nikatoka nduki hatariMe kipind hicho nilikuwa Chuo so sikuwa na uwezo wa kutuma Dola $ 1,000 wakat Huo Dola ilkuwa kama 1500 Tsh sasa nikasema $ Dola 1,000 kwa $ 500,000 bas nika achana nao ila Najua wengi wameibiwa sana aisee na hawa watu wengi ni Wanaijeria na west Africa hiko
Alikuwa Seriuos kukubomu na sio vinginevyo.Kuna demu mmoja tulikuwa tunachati sana mpaka ikafikia wakati akanitumia namba yake, sikumuelewa moja kanipigia simu ili tukutane nili mblock mpaka leo sijawasiliana nae.... Mimi nilikuwa nafanya kama joke kumbe yeye yuko serious
Hiyo huitwa Scam 419 au kwa jina ligine ni Advance fee fraud.Mkuu umenikumbusha mbali sana binafsi kidogo nilizwe nilipomshirikisha mfanyakazi mwenzangu ambaye na yeye ilibakia kidogo alizwe ndipo aliponiambia naibiwa nami nikatoka nduki hatari
Mnachati mnachamnachati, ikifika wakati wa kupigana miziga unapotea na kumpotezea. Tumia sana derailing techniques.Mkuu kumbe siku hizi wameshuka bei? labda wanatofutiana quality maana mimi huwa napigwa vizinga vya elfu 50 nakuendelea, mniupdate pengine huu usawa wa Mhe. wa hapa kazi tu umefanya bei ishuke.
Mkuu nimeamua tu kustaafu maana naona nafliska sasa kwakweli, unaweza kukutana na dem ukajua hana njaa lkn mwisho wa siku baada ya mazoeya anakupiga kizinga cha hatari.Mnachati mnachamnachati, ikifika wakati wa kupigana miziga unapotea na kumpotezea. Tumia sana derailing techniques.
Kuna mwanaume mmoja ni mashuhuri kweli hapa mjini anajifanya yeye mkongo. Na ni moja ya wanaume wanaoongoza kutongoza Instagram, alikuwa ananitongoza,Mara njoo sehemu flank,mm ni mlokole,nashinda kanisani, kesho yake kuna MTU aliniomba nikamsaidie kumnunulia gazeti LA mwananchi.Kufika nakutana na sura ya yule mkaka IPO kwenye gazeti.Na kichwa cha habari. JAMBAZI SUGU WA MADINI ANAYETAFUTWA.kusoma ndani anatumia wadada wengi anakuita na kukutapeli,huyo ataacha kukupiga pic za uchi kweli.nlimuogopa mpaka Leo nikamblock Instagram Kabisa.ningemuweka wazi ila naogopaKuna demu mmoja tulikuwa tunachati sana mpaka ikafikia wakati akanitumia namba yake, sikumuelewa moja kanipigia simu ili tukutane nili mblock mpaka leo sijawasiliana nae.... Mimi nilikuwa nafanya kama joke kumbe yeye yuko serious
Dah nimeingia cha kikestereo singasinga huyo kwenye nyimbo ya hisia sio nikki
Thinking error hahahahHuyo ni stereo na sio nikki mbishi acha uongo
mtafute akupe feedbackKuna babu alichachawaga na dem wa Senegal sijui kama hakuliwa kiinua mgongo chake, make nlikua namwambia huyo tapeli haelewi anaona nampeperushia
o tupo mikoa tofauti..wapo wawili na uzuri wapo mkoa mmoja...uzuri pia waote ni friends fb,,,mwezi huu nitaenda mkoawalipo na wote wamepromis kuvua chupi,,uzuri sijawahi pigwa mzingaKuna demu mmoja tulikuwa tunachati sana mpaka ikafikia wakati akanitumia namba yake, sikumuelewa moja kanipigia simu ili tukutane nili mblock mpaka leo sijawasiliana nae.... Mimi nilikuwa nafanya kama joke kumbe yeye yuko serious
Sasa mkuu hujasema hiyo papuchi tunapataje funguka zaidiKama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa[emoji116]
Anaweza akawa Arusha na wewe akijua upo Arusha basi atakwambia yupo Dar ili wewe umtumie nauli aje atakwambia anaumwa ili wewe utume pesa ya matibabu atakwambia ana mgonjwa wa familia yake ila inatakiwa kila ndugu achangie pesa ya matibabu, hapo atakwambia umchangie ila vizinga vyao ni 30
Atakwambia anadaiwa na mtu 30 elfu na hana pesa, anamaanisha umlipie
sasa ndugu yangu kama wewe ni boya utatoa mawe yako na hutapewa papuchi.
NB: Usiwekeze kwa mpenzi wa mtandaoni, huyo chapa na usepe zako, wapo kikazi.
We sijui umejiunga jf leo?,Mods mnafanya nin hadi dakika hii huu uchwara bado upo hewani...ivii kazi yenu ni nin hii mada inafundisha nin hasa au inalengo lip katika jamii huyu huyu atakuja pandisha uzi wa ushoga humu msipo kuwa makin....futilia mbali uzi uuu mods