Shituka: Hizi ndio mbinu za wanawake wa kuwapata mitandaoni

Inategemea jamani. Nadhani ni gia unayoanza nayo. Mimi nilikutana na binti mmoja hapa hapa JF. Tangu mwanzo nilikuwa muwazi kuwa nia yangu haikuwa ngono bali kumfahamu vizuri. Binti alikuwa ananikosha sana jinsi anavyopangilia hoja zake na misimamo yake. Basi tukaanza urafiki tukijadiliana mambo mbali mbali ya maisha. Mwisho wa siku yeye ndo kanitumia nauli tena ya ndege ili niende kwake. Mpaka leo hii amegeuka na kuwa rafiki wa kweli in my life na hajaniomba cho chote japo mara moja moja tu mi mwenyewe najishtukia na kumpelekea vizawadi hasa kutoka nchi za nje ninaposafiri. Kwa hivyo siyo wote wana tabia hiyo.

Love you J mrembo wangu wa Kinyamwezi!
....teh hee hee..ngosha hii mbona kama skonyo hivi!
 
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa[emoji116]

Anaweza akawa Arusha na wewe akijua upo Arusha basi atakwambia yupo Dar ili wewe umtumie nauli aje atakwambia anaumwa ili wewe utume pesa ya matibabu atakwambia ana mgonjwa wa familia yake ila inatakiwa kila ndugu achangie pesa ya matibabu, hapo atakwambia umchangie ila vizinga vyao ni 30
Atakwambia anadaiwa na mtu 30 elfu na hana pesa, anamaanisha umlipie
sasa ndugu yangu kama wewe ni boya utatoa mawe yako na hutapewa papuchi.

NB: Usiwekeze kwa mpenzi wa mtandaoni, huyo chapa na usepe zako, wapo kikazi.
Tupe mbinu sasa ili tuwagonge pasipo kuwapa pesa kama wew ufanyavyo mkuu
 
Kumbe kuna sovisl network nyingi hivyo! Malaya ndio waliwao!!! Hata waandamane hawanipati ng'ooooo
 
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa[emoji116]

Anaweza akawa Arusha na wewe akijua upo Arusha basi atakwambia yupo Dar ili wewe umtumie nauli aje atakwambia anaumwa ili wewe utume pesa ya matibabu atakwambia ana mgonjwa wa familia yake ila inatakiwa kila ndugu achangie pesa ya matibabu, hapo atakwambia umchangie ila vizinga vyao ni 30
Atakwambia anadaiwa na mtu 30 elfu na hana pesa, anamaanisha umlipie
sasa ndugu yangu kama wewe ni boya utatoa mawe yako na hutapewa papuchi.

NB: Usiwekeze kwa mpenzi wa mtandaoni, huyo chapa na usepe zako, wapo kikazi.
Ongezea kodi ya nyumba. Anakwambia kodi imeisha na anatakiwa kulia miezi sits ila amepungukiwa 30 au 40 elfu. Beware of them
 
Umetoa hoja poa lakini umeshindwa kuimalizia. Ama umemaliza vbaya yaan ulichokusudia hasa kukisema kwa undani hukikisema
 
Inategemea jamani. Nadhani ni gia unayoanza nayo. Mimi nilikutana na binti mmoja hapa hapa JF. Tangu mwanzo nilikuwa muwazi kuwa nia yangu haikuwa ngono bali kumfahamu vizuri. Binti alikuwa ananikosha sana jinsi anavyopangilia hoja zake na misimamo yake. Basi tukaanza urafiki tukijadiliana mambo mbali mbali ya maisha. Mwisho wa siku yeye ndo kanitumia nauli tena ya ndege ili niende kwake. Mpaka leo hii amegeuka na kuwa rafiki wa kweli in my life na hajaniomba cho chote japo mara moja moja tu mi mwenyewe najishtukia na kumpelekea vizawadi hasa kutoka nchi za nje ninaposafiri. Kwa hivyo siyo wote wana tabia hiyo.

Love you J mrembo wangu wa Kinyamwezi!
Mkuu hongera sana, weka ndani haraka hiyo mambo ukichelewa shauri lako
 
Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa[emoji116]
Sijapenda ujumbe wako kwa jamii.Bwana akusamehe uoe na uache uzinzi utakufa kidai kijura!!1
 
Back
Top Bottom