pirates lil
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 958
- 912
Apana nyie ni hatari ni zaid ya simba[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji126] [emoji140]sitaki nikupoteze tuu pirates lil unajua mim sitakufanyia kama hao wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apana nyie ni hatari ni zaid ya simba[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji126] [emoji140]sitaki nikupoteze tuu pirates lil unajua mim sitakufanyia kama hao wengine
Bado wapo na wengi wao wapo @ Hotmail[emoji1] [emoji1] hivi wamepotelea wapi hawa?
Basi una gundu sanaNa number za mademu kama 50 wengi wapo R chuga na Mbeya na Morogoro, Dar, Moshi na niliwapa badoo na sijawahi kukutana na hata mmoja
Apana nyie ni hatari ni zaid ya simba[emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji29] [emoji126] [emoji140]
Duh nini icho tenahapana, nyie ndiyo nouma sana, mnaweza kuwa viumbe hatari kuliko vyote duniani. ww majuzi tuu ulitaka kunizimisha pirates lil
Duh nini icho tena
Nimecheka kweli.wewe si ndio unawafata unategemea nini? Utakomolewa tu .Jf madada wa humu kwa vizinga hatari,jukwaani wanajifanyaga mambo safi kumbe njaa tupu katika 5 nilikuwa nao mmoja tu ndo alikuwa na penzi la kweli namie
tunawafuata kwakuwa wanaume ndo tunaoanzisha mahusiano na nyie ila tatzo lenu mnavyotukomoa ndivyo mnanavyotutoa kuwapendaNimecheka kweli.wewe si ndio unawafata unategemea nini? Utakomolewa tu .
Wa bure hapana,ila namna wanavyochuna ndio sipendiUlitaka wa bure
Ata Yuda alimsaliti YESU kwa vipande 30 vya fedha Mkuu...so nahisi 30 ni namba ya wasaliti.Why 30,000? Asilimia kubwa wanawake vizinga vyao ni elfu30. Ata malaya akienda kutoa show ya kulala anadai elfu30
Kumpa Manzi pesa ambaye hujampiga KUNI ni kosa la kutokujielewa....then tunatakiwa tupange kiasi cha kuwapa hawa creatures, maximum 15.Kama hujawahi kupata demu Badoo, Fb, Instagram, Sexchat, Jf, Telegram basi wewe una matatizo na sio kidume kamili ila kama ni fala unaweza ukapunyuliwa vipesa vyako na papuchi usipewe ila kwa sisi makonkodi huwa tunawapa vipara na hela hawapati (tunawakopa) mbinu zao ni hizi hapa[emoji116]
Anaweza akawa Arusha na wewe akijua upo Arusha basi atakwambia yupo Dar ili wewe umtumie nauli aje atakwambia anaumwa ili wewe utume pesa ya matibabu atakwambia ana mgonjwa wa familia yake ila inatakiwa kila ndugu achangie pesa ya matibabu, hapo atakwambia umchangie ila vizinga vyao ni 30
Atakwambia anadaiwa na mtu 30 elfu na hana pesa, anamaanisha umlipie
sasa ndugu yangu kama wewe ni boya utatoa mawe yako na hutapewa papuchi.
NB: Usiwekeze kwa mpenzi wa mtandaoni, huyo chapa na usepe zako, wapo kikazi.