Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
GiiidanganyEE!!mwanamke lazima ahudumiwe, hiyo ni nature, tena kabla hajaomba unatakiwa ujue kua mwenza wako anashida fulani.
Kama huhudumii utasaidia na watu waliotayari kuhudumia
Acha tabia za ukausha damu...tulia uombe Mungu uelewe ....hyo kudanga si tabia ya kujivunia kwa mwanamkeAcha dharau, dungaembe af unafata kuomba uchi? Si ukanunue kitambaa cheupe sinza?
Kwakweli ππMdogo wangu atafute tu hela. Maana hata V8 sio gari la Serikali ukiwa na hela unamiliki. π€£π€£π€£π€£
Uzuri ni kwamba hayuko humuππBabe wako kashasoma na amelike ππ
It was meant as a joke.Naye ni wahapa hapa ? π€
Hahaha.......... kwahiyo ngoma draw π πWenyewe nao wanawinda sana wallet kuliko mahusiano ya kuwapeleka kwenye ndoa.
π π ππ
Simaanishi hivyo ila tuishi nao kwa akiliHahaha.......... kwahiyo ngoma draw π π
Yeah ni kweliSimaanishi hivyo ila tuishi nao kwa akili
Hakika kushindwa kuzizuia tamaa ni hatari sana.Yeah ni kweli
Ukiacha kufikiri Kwa kichwa cha Juu na kufikiri Kwa kichwa kidogo, madhara yake ni makubwa hapo baadaye
Kwa kweliHakika kushindwa kuzizuia tamaa ni hatari sana.
Kuna madada ni majangili ππ€, acha tutegue visangaUsiwasanue, unatuharibia sisi mwanajeshi wa KJ521 ,Lugalo barracks π π π
Pamoja sana mkuu jackalπͺMwanangu umepigiliaaaaa.