Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Mimi mke wangu ni jukumu langu kuhakikisha namuhudumia 100% japo yeye ana kibarua chake lakini mimi kwa mwanaume... kula , kuvaa , na kila kitu nasimamia...
Labda ikitokea nimeyumba kidogo nd namwambia mwenzang niboost kidogo
 
Back
Top Bottom