RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,189 Reaction score 1,690 Mar 7, 2025 #541 Na utaenda kukatikia mgomba Mapenzi na Sex ni pesa ata ukienda kununua malaya utatoa pesa na ata ukitafta malaya wa club,bar bado utanunua bia ama wine Maisha ni kutegemeana
Na utaenda kukatikia mgomba Mapenzi na Sex ni pesa ata ukienda kununua malaya utatoa pesa na ata ukitafta malaya wa club,bar bado utanunua bia ama wine Maisha ni kutegemeana
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Mar 7, 2025 #542 Unatukumbusha sio?Tarehe 8 siku yao kesho tuu na hu uzi ni wa tarehe 8 March Mwaka jana