Leonardo Harold
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 1,088
- 2,122
ASANTE CHIEF, HII 50 BORA NIMTUMIE MAMA ATUMIE ATAKACHO, HUYU DEMU KAMA ana wa kumpa hela akampe na mbunye ampelekee, tumegeuzwa chuma ulete, tunapambania furaha za mademu kuliko hata furaha zetu, as long as sio mlemavu atafute hela kama mwanaume anavyotafuta, dunia ya sasa ni 50/50, kwahyo hakuna sababu yoyote ya mwanamke kutotafuta hela yake, wapenz kusaidiana ni kawaida lakini liwe hitaji stahiki na sio kuombana ombana kila siku, leo vocha kesho ped kesho kutwa anaumwa mara kodi