Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Andiko lako nimelielewa sana.

Kuna mademu walikuwa wazuri sana. Kila nikikutana nao wananiita mimi Bahili na sikuwahi kuyumba.....at the end nikawa nawala bure kabisa.

Kijana usibabaike na majina utakayoitwa kisa unaogopa kumpotez hata kama ni mzuri kiasi gani.
Uko sahihi, stick to your own plann.
 
Back
Top Bottom