Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Yawezekana Imani yangu ni haba kuhusu huo msemo 🤣🤣🤣Sasa mbona huamini Sera ya , I mean no malice to nobody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawezekana Imani yangu ni haba kuhusu huo msemo 🤣🤣🤣Sasa mbona huamini Sera ya , I mean no malice to nobody
Aisee 😂😂Yawezekana Imani yangu ni Jana kuhusu huo msemo 🤣🤣🤣
Dogo kachemka sana 😂😂😂
Kelsea huu mchezo una upenda, ila huuwezi ujue😂🤣😆
Kaka nime liondoa Hilo neno la mwishoni😂🤣😆, Nisije pigwa bure.Dogo kachemka sana 😂😂😂
🤣 Mie kwani nimesemaje jamani?Kelsea huu mchezo una upenda, ila huuwezi ujue😂🤣😆
Akiendelea kuna kitu nitamkumbusha 😂😂Dogo kachemka sana 😂😂😂
Mrs bui bui una endeleaje 🤓Akiendelea kuna kitu nitamkumbusha 😂😂
😂 Nikukumbushe?Mrs bui bui una endeleaje 🤓
Sema 🤣🤓, maana Usha Anza niita Mzee🤔😂 Nikukumbushe?
Mke ndo ana haki Na wajibu wa kuhudumiwamwanamke lazima ahudumiwe, hiyo ni nature, tena kabla hajaomba unatakiwa ujue kua mwenza wako anashida fulani.
Kama huhudumii utasaidia na watu waliotayari kuhudumia
Wewe ni "mtalaka wa mtu JF"Niite the leader who fled from a fallen empire
😘😘😘😘😘😘Najua sana unastahili hela. Kuna surprise yako muda si mrefu 😅
Woiii🤣😆, Asante Sana bibie, Mr Dell Nita lala kwa amani😘😘😘😘😘😘
Unalala mchana huu UNAUMWA?Woiii🤣😆, Asante Sana bibie, Mr Dell Nita lala kwa amani