Shivji ni mnafiki, kama walivyo wazanzibari wengi.
Shivji ana asili ya Uzanzibari na ndio wale waliokimbia huko wakati wa misuko suko ya kisiasa.
Na inaelekea ancheza kwao ili kutuzwa.
Angekuwa si mnafiki basi tungesikia kilio chake cha kupinga katiba mpya ya Zanzibar inayotaka Zanzibar inwe nchi inayojitambua kuliko ilivyokuwa ndani ya muungano.
Hatukusikia neno wala maoni yake, kama yapo basi ayaweke hadharani ili yaendane na kilio hiki cha Tnganyika kutaka serikali yake nayo kama Zanzibar walivyofanya.
Tatizo la Wazanzibari ni unafiki, wamelilia serikali tatu miaka mingi, na sasa Watanganyika wameamua kweli, jitoeni ili mupate serikali yenu ya Zanzibar, na sisi serikali yetu ya Tanganyika irudi.
Kwa vile Watanganyika ndio tunachangia kila kitu cha muungano ni dhahiri hatutakubali tuwagharimie wazanzibari kuja kula kuku bure huku Tanganyika wakati hawana mchango wowote hapa kwenye serikali ya muungano.
Na mbaya zaidi itabidi hao wazanzibari sasa warudi makwao, nchini Zanzibar!
Hicho ndio kiini cha panic ya kina Shivji, na si kwamba wanaupenda muungano, wnatunyonya waTanganyika!!