Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au 100MW?😂😂😂
Hapo sasa..!!!😂😂Kwani kapigwa had awe rais
Malalamiko yalikuwa mengi kuwa mnanyanyaswa na wake zenu, mmepata nguvu sasa ya kutetewa na Rais wenu kashapatikana.
Huyu wa kustaafu ameniuma sana.
View attachment 2791184
Hivi huo ni ushauri wa kweli au ni utani tu?Ladies ukipata nafasi ya kumtesa mtoto wa mama mkwe kwa namna yoyote ile unatuwakilisha vyema
😀😀😀😀
Nmecheka mnooo🤣🤣🤣Malalamiko yalikuwa mengi kuwa mnanyanyaswa na wake zenu, mmepata nguvu sasa ya kutetewa na Rais wenu kashapatikana.
Huyu wa kustaafu ameniuma sana.
View attachment 2791184
Hivi huo ni ushauri wa kweli au ni utani tu?
Wanawake wa Dar kwa sasa kwa asilimia kubwa hawana asili ya Dar.Kataa kuoa mwanamke wa dar, unaoa matatizo badala ya mwanamke.
Kataaa
Kataa
Kataaaaaaaa
hakuna alietaka ila tu kupenda dezo dezo na kutafuta vihela vya bure bure. Hakuna alietaka ndio maana kila aliyeshugulikiwa alitoa chozi na kakilio ka kujihisi hatia ila wangefanyaje sasa vihela wanavitaka.Unahisi umewakomoa? Hao walikua wanataka pia uwatoe marinda yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ladies ukipata nafasi ya kumtesa mtoto wa mama mkwe kwa namna yoyote ile unatuwakilisha vyema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]