SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

hahahaha hata bila kuteswa ex na andazi linachaguliwa andazi mbona
Sema nini mamdogo, kumtesa mwenye hela wakati kwenu ni apeche alolo huwezi..!! Kama mlo wenyewe kwenu unaliwa saa 10 jioni haijulikani kama ni lanchi au dina..!! Huwezi kabisa kumtesa anayekupa milo yote mitatu kwa wakati na tena imesheheni mboga saba draft
 
hujakutana na maskini jeuri bamdogo
 
Back
Top Bottom