SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

🤣🤣🤣🤣We unajua ni mwehu sana?Kwa hiyo lazima wabostiwe
Hao wabostiwe tu hakuna namna 🤣🤣🤣
Hivi huo upuuzi unaweza kumletea bro? Masai yule anakuua na kukuzika mwenyewe
 
Wii sikushauri labda upigane na michepuko yake 🤣🤣🤣
Wii sijawahi kupigana na mtu Baki tangu nipigane la kwanza na nilipigwa kibao sijarudia 😂😂 sembuse mtu mzima mwenzangu wamchukue Sina nguvu my wii😂😂😂
 
Na polisi wanafanya makosa fulani ya kudhani kila tukio la kukandana kati ya mwanamke na mwanaume, mwanamke ndo anakuwa ameonewa always
Nilipiga nusura nimtoe jicho nikapelekwa Central Police Station nikaingizwa lockup kule ndani nikakuta wanaume wengine watano wote kesi ni za kuwapiga wanawake, jioni nikatolewa baada ya kubainika mwenye makosa ni mwanamke Ila Mkuu wa kituo alikua upande wa Mwanamke, polisi baadhi ni waelewa sana wanawajua wanawake walivyo, sio wanaume wote wanaonewa wengine usijaribu utakatwa shingo
 
Sasa hii ni kutoka kwa mamdogo, je EX atasema nini? Si atachagua andazi..!!
Mamdogo Amehlo ona huyu Ex hapa alichosababisha

Wii sijawahi kupigana na mtu Baki tangu nipigane la kwanza na nilipigwa kibao sijarudia 😂😂 sembuse mtu mzima mwenzangu wamchukue Sina nguvu my wii😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 bora utulie tu wifi yangu
 
Back
Top Bottom