SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Loh sithubutu, ila mwenzangu akiwakilisha vyema huko naona poaπŸ˜…
Usisahau, kila mwenzako ana mwenzake, na huyo mwenzako, mwenzake ni wewe, naye atafurahia ukimuwakilisha vyema..!!
 
🀣🀣🀣🀣We unajua ni mwehu sana?Kwa hiyo lazima wabostiwe
Hao wabostiwe tu hakuna namna 🀣🀣🀣
Hivi huo upuuzi unaweza kumletea bro? Masai yule anakuua na kukuzika mwenyewe
 
Wii sikushauri labda upigane na michepuko yake 🀣🀣🀣
Wii sijawahi kupigana na mtu Baki tangu nipigane la kwanza na nilipigwa kibao sijarudia πŸ˜‚πŸ˜‚ sembuse mtu mzima mwenzangu wamchukue Sina nguvu my wiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na polisi wanafanya makosa fulani ya kudhani kila tukio la kukandana kati ya mwanamke na mwanaume, mwanamke ndo anakuwa ameonewa always
Nilipiga nusura nimtoe jicho nikapelekwa Central Police Station nikaingizwa lockup kule ndani nikakuta wanaume wengine watano wote kesi ni za kuwapiga wanawake, jioni nikatolewa baada ya kubainika mwenye makosa ni mwanamke Ila Mkuu wa kituo alikua upande wa Mwanamke, polisi baadhi ni waelewa sana wanawajua wanawake walivyo, sio wanaume wote wanaonewa wengine usijaribu utakatwa shingo
 
Sasa hii ni kutoka kwa mamdogo, je EX atasema nini? Si atachagua andazi..!!
Mamdogo Amehlo ona huyu Ex hapa alichosababisha

 
Hao wabostiwe tu hakuna namna 🀣🀣🀣
Hivi huo upuuzi unaweza kumletea bro? Masai yule anakuua na kukuzika mwenyewe
Kwanza mi mwenzio siwezi kabisa kumkabili mwanaume eti nipigane?hapana hamna kiumbe namuogopa Kam mwanaume akibadilika anaweza kuwa mnyama akuchane uso bure
 
Wii sijawahi kupigana na mtu Baki tangu nipigane la kwanza na nilipigwa kibao sijarudia πŸ˜‚πŸ˜‚ sembuse mtu mzima mwenzangu wamchukue Sina nguvu my wiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 bora utulie tu wifi yangu
 
Malalamiko yalikuwa mengi kuwa mnanyanyaswa na wake zenu, mmepata nguvu sasa ya kutetewa na Rais wenu kashapatikana.

Huyu wa kustaafu ameniuma sana.

View attachment 2791184
Duh..
Wanaume wa wapi hao?!

Unajijua wewe ni nyoronyoro halafu unaenda kuoa Tom boy au baunsa kisa tu anavaa sketi?
Ngoja wakung'utwe akili ziwakae sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…