Hata Sisi huku gengeni hatujabaki nyuma tunawala tena vizuri tu,wanatukopakopa ili wabane hela ya matumizi ili aendelee na vikoba vyaoThe list goes on and on........ This kuchapiwa paranoia has been a poor man's cry siku zote. Tutafute hela tu mwanetu tuwe tuna-stress za hisa kushuka na currency kubadilika😂😂
- Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kazini wanaliwa na mabosi.
- Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda kanisani wanaliwa na Wachungaji
- Inadaiwa wanawake wengi wanaoenda hospitalini wanaliwa na madaktari
- Inadaiwa wanawake wengi wanaopanda pikipiki wanaliwa na ndege
- Inadaiwa wanawake wengi ma air hostess wanaliwa na mapilot
- Wanawake wanaoenda kwa wataalam wanaliwa na waganga
Yani tunaliwa Kanisani,Chuoni,Gym,Bar,Club Yani hatuna KAZI nyingine za kufanya zaidi ya kuliwa 😅🤣😅😅Sasa kama kila atakapokwenda mwanamke anajiuza au ataliwa mbona kasheshe! kwahiyo waungwana mnashauri mwanamke aende wapi ambapo hatoliwa? Mnaonaje nyie pia mkajitune kuacha kununua au kula wanawake hovyo! maana mnaolalamika hivi ndio walaji, au wanakulana wao kwa wao?
Huenda huwa wana refer kutoka kwenye circle zao! mimi sijawahi kuona haya kwa kiasi wanacholalamikia hapa kwakweli!Yani tunaliwa Kanisani,Chuoni,Gym,Bar,Club Yani hatuna KAZI nyingine za kufanya zaidi ya kuliwa 😅🤣😅😅
Yani mleta mada anaamiini mwanamke ni kuliwa tu hata akilala ndotoni analiwa tu, duh kazi kweli!Alietoa post hii amechelewa Sana kujua hili.....
Haina hata haja ya kulalamika kwakua haya ni maisha ya kila siku na huwez kuliwa Wala kununua Kama huhitaji so gym ni sehem Kama sehem nyengine mtu anaweza asijiuze gym akajiuza online....
Mmechelewa kujuaSijawahi kufikiria wala kudhani kuwa mazingira ya gym ni hatari kiasi hiki hadi niliposikiliza video hii hapo chini na kumshirikisha jamaa yangu mmoja ambaye anaenda gym mara kwa mara. Amenisimulia mambo mengi kuhusu ushenzy unnaofanywa na trainers huko gym hadi nimeogopa. Jamaa yangu kaniambia kwamba gym trainers wana mbinu nyingi za kumtia nyege mwanamke kupitia mazoezi yanayoitwa kejel exercises.
Katika mazoezi hayo huwa wanakuwa karibu na mwanamke hadi wakati mwingine wanagusana. Na ukizingatia mwili unakuwa na joto baada ya mazoezi, basi mwanamke hushikwa na nyege kwa kiasi kikubwa sana.
Baada ya mazoezi, trainer humlaza chini mwanamke na kuanza kumshikashika akimnyoosha viungo vya mwili. Kuna maeneo ambayo akimshika mwanamke ana relax kama vile yupo kwenye massage parlour. Katika hali ya kawaida, ukifanikiwa kumrelaxisha mwamke yeyote lazima umle tu hakuna namna.
View attachment 3626258
MAONI YANGU
Anachosema huyu trainer kwenye video ni kweli kabisa. Ameamua kuwa muwazi ili kuokoa wengi. Wanaume wenye wake zenu ambao bado mnawapenda kwa dhati, msiwaruhusu hata kidogo kwenda gym. Mwanamke hata awe mgumu kiasi gani, trainer wa gym akitaka kumla lazima atamla 💯%. Hata kama angekuwa mtawa. Labda asiwe na mvuto. Kuweni makini na wake zenu jamani✍️
Yani issue ndogo ya mtu mmoja inajumlisha watu wote 🤣Huenda huwa wana refer kutoka kwenye circle zao! mimi sijawahi kuona haya kwa kiasi wanacholalamikia hapa kwakweli!
Ujinga ujinga tu!Yani issue ndogo ya mtu mmoja inajumlisha watu wote 🤣
😅Ujinga ujinga tu!
Inawezekana wewe ni gym trainer so unataka tukae kimya ili uendelee kujimegea wake zetu bila kuulizwa. Ushindweeeee!hii habari haina umuhimu kwa sababu wanawake wanaoenda gym ni asilimia ndogo sana ya wanawake wote yaani almost 0.00005% ya wanawake so ya nini kuijadili ni sawa nianzishe maada kusema ukiona mkeo kaenda kusoma harvad university lazima ataliwa huko..sasa unakuta hata wanawake wanaoenda harvad hawafiki 100...gym huko katika wanawake 10000 unakuta ni mmoja ana uwezo kulipia
Mwanamke umshikeshike makalioni, mapajani, na kifuani kiulani kama kwenye massage parlour apandishe nyege kwanini asiliwe mkuu?Sio kila mwanamke analiwa mkuu niamini wale wanaoliwa ni wauzaji au wanatabia za kimalaya so wanaliwa hata wasipokutana na trainer
Duh! Basi oeni wanawake wasio na mvuto! Dunia haiwezi kwenda kwa matakwa yenu, malaya wataendelea kushikilia hatamu tu! Huwezi ku control ulimwengu, kuna tabia hata uikwepe vipi kuna kona ukikata utakutana nazo tu! Kuna sehemu nimesoma mtu kaandika UMalaya ndio taaluma ya kwanza dunaini.. so 🤷🏽♀️Sio hivyo mkuu. Nimepata habari kamili kutoka kwa jamaa yangu anayeendaga gym kila siku. Wake za watu wanatafunwa sana huko. Labda huyo mke akose shepu na mvuto. Otherwise, ni kuliwa tu kwa kwenda mbele.
Kuna wenzenu wanasema wanawake wanaliwa huko mihangaikoni pia! Imeshakuwa kila kona wanawake kazi yao ni kuliwa tu as if hakuna mambo zingine za kufanya!Hao wanaokula wake zza watu ni trainers mkuu. Sisi tunakuwa kwenye mihangaiko ya kila siku. Tunaishi hapa hapa nchini.