Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

Suluhisho ni kuwazuia wake wasiende gym. Ikibidi mume aweke gym nyumbani akija trainer anakuwepo kuhakikisha usalama. Vinginevyo atadinyiwa hadi achanganyikiwe. Na mwanamke akianza kudinywa na trainer akija nyumbani hana nyege hata moja. Ni shida sana mkuu.
 
Duhh! Tulipofiki, ndoa inageuka kama kichaka cha kujifichia tu! Lakini uhalisia mtu anajua ndani yake kuna nini!
 
Sasa kwa jinsi wanavyovaa skin tight na kubinuliwabinuliwa vile utaacha kuwatafuna?
 
Kuna wenzenu wanasema wanawake wanakiwa huko mihangaikoni pia! Imeshakuwa kila kona wanawake kazi yao ni kuliwa tu as if hakuna mambo zingine za kufanya!
Wanaume tuna taabu sana. Sijui hawa wanawake zetu tukawafiche wapi. Na wakienda kwa wale vijana waweka kucha nao wanawala vibaya sana. Siku moja nilimkuta mke wangu kainamishwa na mchonga kucha kidogo nimtoe ngeu yule kijana. Wanashikashika wake za watu hadi mapajani eti wanawaosha miguu. Hivi wanawake wa siku hizi wamekuwa midori hadi hawawezi kujisafisha wenyewe miguu hadi wasafishwe na vijana au kuna kitu wanakitafuta?
 
Duhh! Tulipofiki, ndoa inageuka kama kichaka cha kujifichia tu! Lakini uhalisia mtu anajua ndani yake kuna nini!
Kweli kabisa mkuu. Wanaume tuna taabu sana. Wake zetu wanaliwa hadi na shamba boys? Mungu atusaidie.
 
Huo ndiyo ukweli ingawa mchungu.

Cases nyingi sana za hao uliowataja kuliwa.

Kati ya wanawake 10 basi 6 washaliwa na hao uliowamensheni.
 
Sio wote mkuu, wanawake wengine wana hizo tabia chafu wenyewe! Mimi nina ofisi ya kucha kijana wangu anatongozwa sana na hawa viumbe ana anawala sana wengi ni wakubwa tu! Kwahiyo ni tabia zao wenyewe! Kama mwanamke hataki huwezi ukamkuta anamchekea mtengeneza kucha! Kuna wanaume wanakuja na wanakwambia kama unatengeza wewe mwneyewe nimruhusu mke wangu awe anakuja kuhudumiwa na wanakuja! Ni mtu binafsi kukubali au kukataa mtalaumu watu tu! Kuna wanawake hawapendi ujinga nakwambia!
 
sasa boy mwananmke si kiumbe dhaifu au hujawahi kuona wauza mkaa wanavyowala wake za watu mitaani? wanawake wachache wenye hofu ya MUNGU ndo hawana huo ushenzi the rest is history mzee
 
Wanawake waliwe tu hakuna namna.
Muuza nyama buchani, muuza matunda, mpemba wa dukani, dereva wa bodaboda wote hao wamejipanga kuwala hivyo hata mwalimu wa mazoezi naye acha ale tu.
 
Hivi ishu ni kuliwa au kuliwa na GYM trainer? wanawake wanaliwa, na, maboss wao, wafanyakazi wenzao, ma house boy, ma boda boda,! Wachungaji wao, mashed wao, Sasa, cha ajabu ni ni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…