Shocking: Inadaiwa Wanawake wengi wanaoenda gym wanaliwa na trainers!

Jamaa lipo sahihi mkuu. Linaokoa familia za watu ili kupunguza migogoro ya kifamilia.
Kwa dunia ya sasa migogoro kwenye familia haipukiki.
Wanawake wamewezeshwa wanaume hawajajiandaa kuishi na wanawake waliowezeshwa.
Inabidi tuzoee tu.
 
Kuna kijana m'moja habari yake ilipata kuvuma miaka michache iliyopita kuhusu kuwalia timing wanawake anaowafanyia body massage.

Yule jamaa ukimtazama hana mvuto wowote ambao mume wa mtu anaweza kuwa na mashaka kuwa mkewe atarubuniwa kulala nae.

Ila sasa, ukweli wa mambo ni jamaa alikuwa anawatafuna wake za watu na mabinti waliokuwa wanakwenda katika eneo lake kama senene.

Sikumbuki sababu ya yeye kujulikana exactly ila nadhani ni kama alirekodi baadhi ya matukio yake ndio ikajulikana au ni mwanamke alijistukia sijui ni wivu kuwa jamaa anawakula wanawake wengine ndio akawa exposed nimesahau sababu.

Ila ile story ikaenda viral na aliyeipost akaiweka kama issue ya ubakaji na ilibakia kidogo jamaa abambikiwe kesi ya kubaka. Shughuli ikaja ni zile confessions za wanawake waliokuwa wanatuma sms dm na zile screenshots zilizokuwa zinatumwa.

Ikaonekana hawa wanawake walikuwa wanampa mshikaji ushirikiano kiasi kwamba wakawa wanamtaka awamalizie kabisa yaani anawachua vizuri mwili hadi wanakuwa wanajisikia kuingiliwa na hawataki jamaa akatishe utamu awamalizia kabisa.

Jamaa alikuwa anawatembezea "dudu la yuyu" hawa wanawake hadi basi, na wengi wao walikuwa wanarudi tena.

The way wanawake walikuwa wanailezea ni as if jamaa anawaloga kwa nguvu za giza na kuwalevya kabla ya kuwaingilia kimwili.

Nikasema ona haya majinga, unaridhia kushikwa mwili halafu unashangaa ulitombwaje? Mwanamke akitoa access ya kushikwa mwili ametoa ruhusa ya kutombwa.
 
Dah kummkeπŸ˜‚πŸ˜‚yani huku Jf kila siku wanaume tuna malalamiko,alafu cha kushangaza wanawake wala hawalalamiki kitu .!
Yani tumekuwa kizazi cha wanaume wa hovyo.
 
Nikasema ona haya majinga, unaridhia kushikwa mwili halafu unashangaa ulitombwaje? Mwanamke akitoa access ya kushikwa mwili ametoa ruhusa ya kutombwa.
Mkuu umemaliza kila kitu. Mwanamke akikubali kunyegezwa na mwanaume yeyote ni lazima atombwe tu; hawezi kukwepa. Hata mkweo akikunyegeza anakutomba vizuri tu. Nyege zikiisha sasa ndipo unashangaa imekuwaje!
 
Wanaoenda gengeni wanaliwa na muuza genge
Wanaoenda hospital wanaliwa na daktari
Wanaoenda kazini wanaliwa na dreva wa Uber/gari
Wanaoenda vyuoni wanaliwa na lectures
Nn:mkeo/mpenzi wako anaenda wapi!?
 
Nashauri asiende kokote!!!
 
We zama pm tu au jianike ki fogo kwenye nyuzi za humu! 😎
Ila kama tabia hujaizoea inaleta ugumu... yaana kuzama PM kwa mtu sijawahi hata kuwaza... sijui ndo udomo zege wenyewe mpaka tunashindwa kula bebe kali πŸ€£πŸ˜‚
 
Ndio mazoea mnaanzia mbali ikifika huko isiwe kazi ngumu! πŸ˜…
Kazi kweli, kuna members hapa walikua ni wapenzi na ilikua inajulikana publicly jukwaani na kila mtu. Kuna siku waliachana wakaandika na uzi kuutangazia Umma wa wana-jf... Watu walihuzunika sana na kuwabembeleza wasiachane lakini ilishindikana... Binafsi nilishangaa sana kama huu mtandao ambao mm nautumia kwa siri kuna wenzangu wana-interact na kukutanisha vikojoleo kabisa πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…