Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
Mkaldayo Diddy mpaka hapo alipo ana allegetions kibao since miaka hiyo ya 90. Hata kifo cha PAC na BIG huyu jamaa dots zote zinaunga kwake.

Ila lijamaa linajua sana ku cover tracks zake. Yani jamaa ni criminal genius.
 
Marekani watu weusi wamepaharibu vibaya SEMA wazungu wanatulia tu Ila Kuna muda wazungu watachoka Itakua serious business.

Kuna beach moja USA yangu 2007 black walikua wakiingia ilikua ni vurugu tu wanaleta wazungu wanasema isiwe tabu tunawachia na kweli wamewachia iyo beach zaiv ni niga tu wapo wanaleteana vurugu wao kwa wao
Maniga ya USA yana ubaguzi kiwango cha juu kuliko hata yale ya SA, kibaya zaidi hufanyiana ubaguzi yenyewe kwa yenyewe ila si kwa Mzungu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Nyani ni nyani tu,mnaenda hotel kupigana?
Ila hatuwezi kujua lile begi binti katimua nalo lilikua na dola ngapi.
Inawezekana kulikua na mzigo mzito km tunavyoibiwa na hawa kina mwajuma ndala ndefu.
 
DIddy ana allegations nyingi sana asee toke 90s. This time inaonekana wameamua kumkaanga mazima. Ila jama ni kama lichawi hivi huwa lina escape hizi jam sana.
Jamaa wahuni wote kaishi nao kuanzia kina 2pac, Dre,BIG hadi hawa watoto wa trap wa jana.

Halafu ni tajiri na ana connections nzito, mifumo anaielewa. Kina 50 cent ambao wanajikutaga ni gangstars wa New York wanabaki kutuma mipasho tiktok na instagram, msela ni namba tasa.
 
Kamanda kama una connection ya hizo nchi tupeane tukaoe huko... Navojua ni Finland, Denmark, Estonia, Luxembourg, Uswisi.... Leta na zingine mzee mwenzangu na Connection zake
Mkuu nenda hata hapo Kwa the King Mswati, niliona hadi tangazo lake la kutaka Wanaume waende wakaoe kwake 😜
 
Jamaa wahuni wote kaishi nao kuanzia kina 2pac, Dre,BIG hadi hawa watoto wa trap wa jana.

Halafu ni tajiri na ana connections nzito, mifumo anaielewa. Kina 50 cent ambao wanajikutaga ni gangstars wa New York wanabaki kutuma mipasho tiktok na instagram, msela ni namba tasa.
Diddy ni Mafia asee. Huyo jamaa ni nyoko asee anajua kupangilia mishe zake.
 
Huyu diddy kamua 2pac na yule mkewe na B.I.G sasa subiri ushahidi upatikane
 
Jamaa wahuni wote kaishi nao kuanzia kina 2pac, Dre,BIG hadi hawa watoto wa trap wa jana.

Halafu ni tajiri na ana connections nzito, mifumo anaielewa. Kina 50 cent ambao wanajikutaga ni gangstars wa New York wanabaki kutuma mipasho tiktok na instagram, msela ni namba tasa.
50 cent anamjua diddy zaidi yako. Sawa na diddy na jay wakihangaika sana kumshusha 50 kimziki so mwache 50 cent amuumbue huyu mwamba. Please no diddy.
 
Maneno meengi lkn unaongea vitu irrelevant.

1)Diddy aliwalipa wenye hotel na kuwasainisha NDA khs hio video. (Breach) na ushahidi wwt uliopatikana kwa njia zisizo halali (kama huo) ni inadmissable kwenye court, meaning hauwezi kutumika kisheria

2)Timeframe ya kufungua hio kesi imekwisha kupita, sheria za marekani huzijui, nimeishi huko for 7years.

Narudia kusema hamna kesi hapo labda waitumie hio video kuanzisha movement tu ya kumfungulia class action kwa waathiriwa wengine (kama wapo na wana ushahidi)

Soma hapa dem boy
Dah! Wewe jamaa dish lako linamushikeli huko US kuna kitu walikufanya sio bure
 
Back
Top Bottom