Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kuna wanaume wana udhaifu tu hata haihitaji kuvuta bangi tena wanapiga mke kuliko hapo kwenye video na hayo matukio ya unyanyasaji mbona Afrika ni mengiHalafu nahisi alikuwa kashapuliza bangi na ngada hapa sio bure. We anampiga mtu namna hiyo as if anapiga jiwe.