Unajua Cassie asingesettle mapema..nje YA mahakama..Na Diddy ana team nzuri YA wanasheria...Tuombe uzima tuone hii ngoma itaishia wapi.
Hv ww ulishaona mtu anavamiwa kwake na FEDs na wanakosa kitu?
Na nahisi hata waloanzisha hili sekeseke la diddy wanajilaumu sababu ni timely bomb, ushahidi wa kumpeleka diddy jela maisha upo sana tu, ila unawahusisha wengine weeengi.
Tukirudi kwenye hii video, "There's no case kwa diddy" sabb hio kesi walishasettle mapema kabisa, files zake zimeshafungwa, unless waitumie kumotivate watu wengine alowafanyia assault wamfungulie class action. Na ni hilo pekee ndo wanalolitafuta sabab ushahidi mwingine unawahusisha hadi Wafanyabiashara, entertainers na Gurus wa Manhattan na viunga vyake huko wallstreet, etc...
Ndio maana Kuna kesi huwa zinaishia nje YA mahakama, Na unaambiwa hutakiwi kupelekwa mahakamani ..mna imaliza amicably..nasikia Diddy alimlipa Zaidi YA Dola milion 10 just imagine
Ndio maana Cassie Hana cha kusema Na kupart inamkataza kutoongelea Tena Na alisign mkataba Huo..hivyo hiii issue labda wamuchafue tu Diddy
Didy Ni MTU mwema pamoja Na makando kando Ni pioneer Wa kutetea black culture ndio maana anaundiwa zengwe
Watu kama Akina Wayne,Drake,Kanye sijawahi kuwaona wakiwa front kwenye black lives matter Ila Diddy amekuwa mstari Wa mbele kuwatetea black