Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Wataje hao mababu zake ambao ni wasomaliUnabisha nini sasa?!
Ana asili ya kisomali huko nyuma sana! Kwa mababu na mabibi.
Mkaldayo Diddy mpaka hapo alipo ana allegetions kibao since miaka hiyo ya 90. Hata kifo cha PAC na BIG huyu jamaa dots zote zinaunga kwake.Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
Siad Barreeeeeee 🤣🤣Wataje hao mababu zake ambao ni wasomali
Kwa akili yako kila mtu mwenye curl ni msomali aisee
Maniga ya USA yana ubaguzi kiwango cha juu kuliko hata yale ya SA, kibaya zaidi hufanyiana ubaguzi yenyewe kwa yenyewe ila si kwa Mzungu.Marekani watu weusi wamepaharibu vibaya SEMA wazungu wanatulia tu Ila Kuna muda wazungu watachoka Itakua serious business.
Kuna beach moja USA yangu 2007 black walikua wakiingia ilikua ni vurugu tu wanaleta wazungu wanasema isiwe tabu tunawachia na kweli wamewachia iyo beach zaiv ni niga tu wapo wanaleteana vurugu wao kwa wao
Jamaa wahuni wote kaishi nao kuanzia kina 2pac, Dre,BIG hadi hawa watoto wa trap wa jana.DIddy ana allegations nyingi sana asee toke 90s. This time inaonekana wameamua kumkaanga mazima. Ila jama ni kama lichawi hivi huwa lina escape hizi jam sana.
Mkuu nenda hata hapo Kwa the King Mswati, niliona hadi tangazo lake la kutaka Wanaume waende wakaoe kwake 😜Kamanda kama una connection ya hizo nchi tupeane tukaoe huko... Navojua ni Finland, Denmark, Estonia, Luxembourg, Uswisi.... Leta na zingine mzee mwenzangu na Connection zake
Huyo P Didy ana ufadhali kuna wazee walivyokuwa wanapiga bibi zetu Almanusra wawaue.Kawaida hiyo, so ulikuwa unaona dingi yako akimuweka mambata maza wako kama jamaa anavyosema hapo juu?
Diddy ni Mafia asee. Huyo jamaa ni nyoko asee anajua kupangilia mishe zake.Jamaa wahuni wote kaishi nao kuanzia kina 2pac, Dre,BIG hadi hawa watoto wa trap wa jana.
Halafu ni tajiri na ana connections nzito, mifumo anaielewa. Kina 50 cent ambao wanajikutaga ni gangstars wa New York wanabaki kutuma mipasho tiktok na instagram, msela ni namba tasa.
50 cent anamjua diddy zaidi yako. Sawa na diddy na jay wakihangaika sana kumshusha 50 kimziki so mwache 50 cent amuumbue huyu mwamba. Please no diddy.Jamaa wahuni wote kaishi nao kuanzia kina 2pac, Dre,BIG hadi hawa watoto wa trap wa jana.
Halafu ni tajiri na ana connections nzito, mifumo anaielewa. Kina 50 cent ambao wanajikutaga ni gangstars wa New York wanabaki kutuma mipasho tiktok na instagram, msela ni namba tasa.
Ntazingatia ushauri hasa wa kupiga Moshi tatu
Yule mnyama wa mjn kumbe alikamuliwa nyumaInasikitisha sana....
Na bado katubakia staa wetu huyu.
Dah! Wewe jamaa dish lako linamushikeli huko US kuna kitu walikufanya sio bureManeno meengi lkn unaongea vitu irrelevant.
1)Diddy aliwalipa wenye hotel na kuwasainisha NDA khs hio video. (Breach) na ushahidi wwt uliopatikana kwa njia zisizo halali (kama huo) ni inadmissable kwenye court, meaning hauwezi kutumika kisheria
2)Timeframe ya kufungua hio kesi imekwisha kupita, sheria za marekani huzijui, nimeishi huko for 7years.
Narudia kusema hamna kesi hapo labda waitumie hio video kuanzisha movement tu ya kumfungulia class action kwa waathiriwa wengine (kama wapo na wana ushahidi)
Soma hapa dem boy
Mzee kinanaWataje hao mababu zake ambao ni wasomali
Kwa akili yako kila mtu mwenye curl hair ni msomali unasafari ndefu sana kifikra
Hahaaaaa ila ilikuwa inaleta discipline nyumbani sio cijana wa sasa wanavyopelekeshwa.Huyo P Didy ana ufadhali kuna wazee walivyokuwa wanapiga bibi zetu Almanusra wawaue.
Kikubwa Moshi tatu Hata kama ni dkk mbili mbiliUbavu unao lakini wa hizo tatu au maneno mengi tu?