Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Umejibu sahihi Mkuu, wakati mwingine sio vibaya kupuuzia ili mambo yapiteUnadeal naye kama tunavyodeal na maBoss zetu wakitukera, wateja wetu wakitukera, ndugu jamaa na marafiki wanaotukera.
Iweje mtu anakerwa na kila mtu hafanyi chochote, ila akikerwa na mwanamke ananyanyua ngumi, this says what!!!!???
Wanasema "funika Kombe...."