Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Aaah ila Chris Brown alizingua sana lile tukio. Alimpiga Rihanna vibaya sana ukitazama picha za lile tukio unakataa sio Chris Brown alifanya ule unyama. Alimpa mabanzi ya kiume kabisa mtoto wa watu akavimba plus manundu. Sijui kama hakumng'oa meno ya mbele.Umesema sahihi Mkuu, lakini kule Kwa wenzetu kitendo cha kumpiga Mwanamke namna hiyo ni abuse ya hali ya juu, hivyo anaweza kukabiliana mashtaka Mahakamani na wakati mwingine kukabiliana na campaign ya kususia biashara zake/Muziki wake
Unakumbuka kisa cha Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Rihanna?
Kilichomsaidia Chris Brown ni ile hali ya kujishusha na kuomba msamaha
Otherwise lilikuwa kaburi la kumpoteza CB moja kwa moja [emoji119]
Ndio maana Chris Brown alichukiwa sana na ile ndio ilimtoa kwenye game kiasi kikubwa. Chris Brown alikuwa amewakamata mashabiki sana ila lile tukio lilimshushushia points nyingi sana.