Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
 
Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
Kwa hiyo matendo ya baba yako mlevi,mfiraji na mpigaji wa wanawake majirani walizihamishia kwako na kukuzuia usitoe maoni kwa wengine?Kwa hiyo huyo mkimbizi wa Kisomali unamuonea huruma asisemwe?Ila wewe ni wa ajabu sana.
 
Tuliyasema haya humu watu wakabisha ooh hakuna ushahidi.

Huyu mwamba Sean Combs ni kweli baadhi tunamkubali hata mimi binafsi pia

Ila kama kuna mahala alizingua ukweli usemwe hatuwezi kuwatetea kwa sababu ni blacks wakifanya usenge

"Ogopa Mungu na teknolojia"
-R.I.P Ruge Mutahaba
 
Marekani watu weusi wamepaharibu vibaya SEMA wazungu wanatulia tu Ila Kuna muda wazungu watachoka Itakua serious business.

Kuna beach moja USA yangu 2007 black walikua wakiingia ilikua ni vurugu tu wanaleta wazungu wanasema isiwe tabu tunawachia na kweli wamewachia iyo beach zaiv ni niga tu wapo wanaleteana vurugu wao kwa wao
😝😝😝😝😝😝
 
Kutaman maisha ya watu mitandaoni kumbe wanabakwa,na kupigwa
Walivyokuwa wakitoka pamoja kwenye mared carpet unasema eee unawatamania kumbe kule ndani anaitiwa wanaume wanamfanya huku kaleweshwa nzwiii
Didy afungwe kama Kelly
 
Hakuna suala la uzungu wala uafrika. Pdidy ni mnyama. Waafrika mnakosea mkitaka kupewa haki yenu mnataka jificha kichaka cha ubaguzi. Pdiddy alimla mpaka msanii wenu wa kiume mmoja wa hapa Tz. But wanaomfahamu pdidy watakuambia ni mnyama kinyama. Ni mafia. So si suala la wazungu wala waafrionce
Once msomali, always msomali
 
Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
Sasa huoni kama wanaosema Diddy kakosea ndo sisi ambao bado tuna machungu ya mama zetu kupigwa hadharani tukishuhudia? Binafsi nimekulia kwenye maisha ya hivyo ndo maana nina hasira kali mno dhidi ya Diddy. Hata baba yangu mzazi hatuko sawa sana kwa sababu ya hizo kumbukumbu mbaya alizonisababishia. Watu wengi hapa TZ huonyesha upendo mwingi kwa mama zao kwa sababu ya baba zao kuwaonea mno mama na watoto. Yaani familia nzima inakuwa wahanga wa tabia za baba.
 
Hiyo mbona kawaida, wangapi wanapigana kwenye ndoa/mahusiano yao? Vile vile tutajuane makubaliano yao walipokuwa himo ndani? Je kama huyo binti alimuibia pesa zake?
 
Umesema sahihi Mkuu, lakini kule Kwa wenzetu kitendo cha kumpiga Mwanamke namna hiyo ni abuse ya hali ya juu, hivyo anaweza kukabiliana mashtaka Mahakamani na wakati mwingine kukabiliana na campaign ya kususia biashara zake/Muziki wake

Unakumbuka kisa cha Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Rihanna?

Kilichomsaidia Chris Brown ni ile hali ya kujishusha na kuomba msamaha

Otherwise lilikuwa kaburi la kumpoteza CB moja kwa moja 🙌
Hata Rihanna amaesaidia sana kumsaficha Chris licha ya kichapo alicho mshushia.

Chris ashukuru sana Rihanna alikuwa akimpenda sana mpaka sasa huwa anakiri ni mpenzi wa maisha yake kama Rihanna angekuwa golddigger tu Moko ungemuwakia Chris
 
Acha kukaa vijiweni. Diddy alifanya ujinga na lazima sheria ichukue mkondo wake.

Diddy aliilipa hotel 50k USD video isitokee kumbe wajuba bado wanayo, diddy lazima awajibishwe kwa ujinga wake. Hakuna mtu alimtuma kuipiga hiyo pisi. Mchezo wa diddy umeisha.
Peleka ujinga wako, Je kama hiyo pisi ilimuibia? Au ilimtukana? Hayo mambo ni kawaida kwa wanaume
 
Back
Top Bottom