Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

But these fuckers are desperate to finish Didy, hii kesi walishasettle na huyo binti yupo under influence kuifufua, kuna uwezekano wa didy kutohukumiwa kwa chcht zaidi ya kuishia kumchafua tu.

Wametafuta videos zote wakakosa sababu nyingi zingewaweka wasanii wengine wengi tu kibao jela au kuwaharibia image yao, kuna tetesi zinasema videos za parties za didy zikivujishwa basi 100+ celebs kwenye entertainment industry watahusika. Ndo maana wameamua kutumia hii ambayo kesi hake ilishamalizwa.

Long live Didy, kila mtu ana dark part yake. Shida inakuja unaposhirikiana na mtu kwenye dark part na ukaja kumuexpose huku ukitaka ww usionekane. Ngoja tuone hii kesi itaishaje kama sio kutuonesha kina bieber, usher, etc.. wakifirvva na kina rihanna wakipigwa gang bang, sijui itaishaje

Acha kukaa vijiweni. Diddy alifanya ujinga na lazima sheria ichukue mkondo wake.

Diddy aliilipa hotel 50k USD video isitokee kumbe wajuba bado wanayo, diddy lazima awajibishwe kwa ujinga wake. Hakuna mtu alimtuma kuipiga hiyo pisi. Mchezo wa diddy umeisha.
 
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya mpenzi wake wa zamani, Cassie Ventura.

Video hiyo ilinaswa kwenye moja ya hoteli waliyoenda kwa mapumziko mwaka 2016.

Didy yupo wapi
 
Miaka kadhaa iliyopita nikiwa Kwenye mazungumzo na vijana fulani wa majuu maeneo fulani ya washua Nishawahi kusikia kwamba huyu na Birdman majamaa ni makatili ile mbaya!.., maovu na manyonyaji kwa wenzao. Na wasanii kibao mambele washafanyiwa unyama na dhulma na hao majamaa.
Birdman aliwah lalamikiwa na Lil Wayne kuhusu unyonyaji , Hata rick Ross aliwah toa ngoma akimchana kuhusu hizo ishu za kuwadhulumu wasaniii na producers. Hapa nawaza Wakina Skylar watakuwa wamafanyiwa unyaaaam kinyamaaa.
 
Mimi namuombea Diddy ashinde tu. Ndio alikosea lakini sakata lote ni racial motivated. Mamchukia sana 50 cent yani kashadidia kweli. Inatakiwa am -support nigger mwenzake ama akae kimya.
Why maovu ya blacks yakirudi kuwa hunt mnataka kutumia weusi wao kama utetezi. Jeffrey Epstein vipi naye alikuwa black? Shida Marekani hata kosa la miaka 40 iliyopita linaweza kuja kukuhunt uzeeni.
Kisa niger mwenzake hata amuunge mkono kwenye ufala. Sijui kwnanini waafrika tunaunga sana uovu kiasi kwamba nilishangaa hadi wasanii wakubwa wanamaindi yule dogo mambo raper kusema ukweli juu ya wenzake aliokuwa anashirikiana nao kuteka, kuua na kuiba eti wakaanza mwita snitch. Then black community ikifail lawama apewe mzungu wakati sisi tunashabikia upuuzi.
 
Yaliyojiri hatujui mpaka akampiga hivyo tusihukumu kama vile tulikuepo vyombo vitafanya kazi huko kwao sisi tuhangaike na mabarabara yetu yaliyojaa mashimo kila sehemu nchi nzimaa na Hali mbaya ya Uchumi
 
Yaliyojiri hatujui mpaka akampiga hivyo tusihukumu kama vile tulikuepo vyombo vitafanya kazi huko kwao sisi tujangaike na mabarabara yetu yaliyojaa mashimo kila sehemu nchi nzimaa
Umesema sahihi Mkuu, lakini kule Kwa wenzetu kitendo cha kumpiga Mwanamke namna hiyo ni abuse ya hali ya juu, hivyo anaweza kukabiliana mashtaka Mahakamani na wakati mwingine kukabiliana na campaign ya kususia biashara zake/Muziki wake

Unakumbuka kisa cha Chris Brown na aliyekuwa mpenzi wake Rihanna?

Kilichomsaidia Chris Brown ni ile hali ya kujishusha na kuomba msamaha

Otherwise lilikuwa kaburi la kumpoteza CB moja kwa moja 🙌
 
Afadhali umetoa somo.Kipigo si suluhu ya changamoto zenu.Say no to kipigo.Say no again to physical /attack/violence/abuse!
 
Afadhali umetoa somo.Kipigo si suluhu ya changamoto zenu.Say no to kipigo.Say no again to physical /attack/violence/abuse!
Binafsi sio muumini wa kipigo, hata kwenye mahusiano yangu sijawahi na ninaomba Mungu anisaidie nisije kunyanyua Mkono wangu kumpiga Mpenzi wangu hata Siku Moja

Muhimu kujifunza kujizuia hasa unapopatwa na hasira 🙏

Zipo namna ya kudeal na Wanawake wasumbufu/wenye midomo inayoudhi but sio Kwa kipigo. That's my belief
 
Binafsi sio muumini wa kipigo, hata kwenye mahusiano yangu sijawahi na ninaomba Mungu anisaidie nisije kunyanyua Mkono wangu kumpiga Mpenzi wangu hata Siku Moja

Muhimu kujifunza kujizuia hasa unapopatwa na hasira [emoji120]

Zipo namna ya kudeal na Wanawake wasumbufu/wenye midomo inayoudhi but sio Kwa kipigo. That's my belief
Hata ufanye mambo mema kiasi gani siku dark side Yako ikiumbuka you are over mchizi legacy yake ndio Ina decline hivyo

Sent from my Pixel 3 XL using JamiiForums mobile app
 
Mkubwa unaonaje ukatoa seminar kidogo namna ya kudeal nao
Unataka kusema Mkuu umeshaanza kumpiga vibao yule Mpenzi wako ambaye hamna hata miezi 3 pamoja 😜🙌

Muhimu kujifunza kujizuia hasa unapopatwa na hasira 🙏 (Hii ni mbinu pia ya kudeal nao hao wanaotupatia utamu wa kitandani)

Zipo njia nyingine ikiwemo kuachana naye huyo mpenzi ambaye unadhani ni msaliti kwako mara Kwa mara hivyo hukulazimu kumtia makofi ili kum-shape tabia

Hofu yangu ni kwamba upo mstari mwembamba sana kati ya Uhai na Mauti.....unaweza kumpiga mtoto wa watu kumbe ndiyo ilikuwa Siku yake ya kuondoka Duniani, hivyo maisha yako yote ukaishia gerezani

Maisha bado ni matamu haya

Kuna Nchi ina Wanawake wengi ambao wamekosa Wanaume wa kuwaoa, ndiyo huyo Mwajuma ndala ndefu aje akuharibie maisha kirahisi?
 
Back
Top Bottom