Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Unadeal naye kama tunavyodeal na maBoss zetu wakitukera, wateja wetu wakitukera, ndugu jamaa na marafiki wanaotukera.

Iweje mtu anakerwa na kila mtu hafanyi chochote, ila akikerwa na mwanamke ananyanyua ngumi, this says what!!!!???
Umejibu sahihi Mkuu, wakati mwingine sio vibaya kupuuzia ili mambo yapite

Wanasema "funika Kombe...."
 
Mi saiv sijitesi nikifika lodge namwambia tu binti yangu eb vua haraka kidogo kabla hii sukari yangu haijapanda
Ukimakiza unapandisha suruali haraka haraka na kwenda kuendelea na majukumu ya kujenga taifa.

Hivi nyie wakati wenu miaka hio mlikuwa mnatumia boosters kama vijana wa sasa, sasa wana vumbi la mcongo, vidonge n.k..
 
Casie ashaolewa ana watoto wawili
 
Ukimakiza unapandisha suruali haraka haraka na kwenda kuendelea na majukumu ya kujenga taifa.

Hivi nyie wakati wenu miaka hio mlikuwa mnatumia boosters kama vijana wa sasa, sasa wana vumbi la mcongo, vidonge n.k..
Kijana wangu rekebisha hapo Kwa umri mi nivae suruali ya nini nyakati hizi msuli hamna mambo mengi


Haya mambo ya booster hamna kipindi ambacho haikwepo sema saiv mnatumia Kwa pupa sana mnataka kukomoa mlipotokea... kipindi kile bibi zenu ndo watuwekea hzo booster kwenye mboga, maziwa au uji na ilikua mizizi ya asili & vyakula walifanya hvo pale wanapoona performance yetu imepungua
 
🤣😂👏👋👏👏
 
🤣😂👏👋👏👏
Kijana wangu nyie Vijana wa nyakati hz hampo ngangari kbs hamjapata mafunzo ya kiumeni... kipindi chetu kutahiriwa haikua inafanyika hospitalini mnapelekwa porini huku vijana kama 10 hv mnatahiriwa huko wazeee wanakuja wanapiga darasa la maana katk nyanja zote za maisha mnakula huko huko porini wanachinja ng'ombe mbili au tatu mpaka mkipona vzr mnakabidhiwa wake zenu😁unaizindua mwenyewe mke wa ujana wako huyo
 
Aisee..
Hivi nyie zamani mlikuwa hamna michepuko?
Kama mlikuwa na michepuko mlikuwa mna wasiliana na mnapanga vipi pa kukutana?

Mliiishi maisha magumu sana...
 
Aisee..
Hivi nyie zamani mlikuwa hamna michepuko?
Kama mlikuwa na michepuko mlikuwa mna wasiliana na mnapanga vipi pa kukutana?

Mliiishi maisha magumu sana...
Kijana umenikumbusha mbali mpaka nimeanza kulia😭😭 wengine sasa wamepumzika tulikula nao ujana.


Kipindi kile wanawake walikua wachache haikua michepuko kama saiv kimtindo tuligongea wake, mashemeji na wajane

Mawasiliano inategemea mfano naweza nikampanga jumatano taenda kuchunga maeneo flan saa flan ukija kukusanya kuni utanikuta😁kabla hajafika unamkusanyia Kuni yy akifika unapiga miuno anabeba Kuni anasepa, mwingine unakubaliana nae ukiona ishara flan n mm huyo mfano tochi
 
😂🤣😂
Wazee mlikuwa mnaishi kwa shida, sasa unaenda kumwagia uno vichakani mwishowe mkutane na koboko.
Mara visimani kuchota maji, mlihangaika sana.
 
Matatizo ya kusoma kichwa cha uzi pekee na kuanza kuchangia ,hujaona pahala inazungumziwa dola 50000
 
😂🤣😂
Wazee mlikuwa mnaishi kwa shida, sasa unaenda kumwagia uno vichakani mwishowe mkutane na koboko.
Mara visimani kuchota maji, mlihangaika sana.
Hujui raha ya show za vichakani ww😁hainaga foreplay finga mbili tu chepe chepe...magari mengi yalikua yanasoma mileage ndogo km 90 sio hawa wa 90's wameathiriwa na madawa unamwandaaa dkk 15
 
Mbona kapapaswa tu huyo? Ukuryani watu wanakula mapanga na mapenzi ndio yanadumu au kwa sababu mtu maarufu ndio asitoe displine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…