Pale alienda kuwahudumia wakubwaMiongoni mwa wajinga wengi waliokuwa kwenye hiyo Serikali
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hatareeeeeee nasikia mzee wa singida ndiyo alimilikiAlivyohamia ccm alishambuliwa kama mpira Wa kona watu walijisevia self service.
Nani alikwambia kuwa mtoto analala na fedha au kunguru wa zanzibar anafugika?Ndoa yake ilishajifia?
Huyu juliana shonza ni muhitimu wa taasisi ya ustawi wa jamii pale kijitonyama kama sikorski.Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao
Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila Haki kupatikana huku akitolea mfano wa tukio la Iringa ambako Mtoto alibakwa na Mzazi wake na kuambukizwa UKIMWI lakini hakuna chochote kilichofanyika
Aidha, ameongeza kuwa Serikali inatoa fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo lakini miradi hiyo inakwama kutokana na Wananchi husika kutoshirikishwa kikamilifu katika uendeshaji wa miradi husika.
Ukoo wa wawazinzi huuNani alikwambia kuwa mtoto analala na fedha au kunguru wa zanzibar anafugika?
tindo acha uhuni.View attachment 1754112
.. Juliana Shonza huyu hapa amepiga picha na walawiti watoto, halafu anasimama bungeni kukemea ubakaji na ulawiti.
cc Wakudadavuwa, tindo, johnthebaptist
Usishangae, acha uhuni.Duuu.
Nimeshaacha kaka na sintorudia tena.Usishangae, acha uhuni.