Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

Shonza: Maafisa wa maendeleo ya Jamii siku hizi wamekuwa Maafisa mikopo. Kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto

Eeh bwana admin kapita na comments zaidi ya 50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu walitiririka kinoma..
 
Mbunge wa Viti Maalum, Juliana Shonza, amesema kumekuwa na kesi nyingi za Ubakaji na Ulawiti wa Watoto katika Jamii lakini Maafisa waliopewa kazi ya kutatua changamoto hizo hawafanyi majukumu yao

Amesema kumekuwa na kesi nyingi za matukio ya Unyanyasaji lakini nyingi zinaishia kwenye Jamii bila Haki kupatikana huku akitolea mfano wa tukio la Iringa ambako Mtoto alibakwa na Mzazi wake na kuambukizwa UKIMWI lakini hakuna chochote kilichofanyika

Aidha, ameongeza kuwa Serikali inatoa fedha nyingi kwa ajili ya miradi ya maendeleo lakini miradi hiyo inakwama kutokana na Wananchi husika kutoshirikishwa kikamilifu katika uendeshaji wa miradi husika.


Huyu juliana shonza ni muhitimu wa taasisi ya ustawi wa jamii pale kijitonyama kama sikorski.
Issue za watoto haipo kwa maafisa maeleo ya jamii zipo Ustawi wa jamii/social welfare not community devpt. Kutoa mikopo au kuisimamia mfno ya vijana ni kazi ya maendleo ya jamii ili kupunguza umasikini. Kabla hajakurupuka na kuongea kama HAYAWANI kwanza adurusu.
Sheria ya mtoto na 9 ya 2009.
Pia also.e na sheria ya ndoa ya 1971
Pia ajibu swali hili
Je hizo sheria zote zinatoa hasa ulinzi kamili wa mtoto hapa nchini?
Na he ustawi wa jamii ni kitengo kinachojitegemea hapa nchini? Kina bajeti/fungu la kufanya shughuli zake ikiwemo wataalamu wa kutosha?
Hawa wabunge sijui kama huwa wanatafsir kabla ya kusema au Bora liende nami nisikike!
 
1618607798620.png


.. Juliana Shonza huyu hapa amepiga picha na walawiti watoto, halafu anasimama bungeni kukemea ubakaji na ulawiti.

cc Wakudadavuwa, tindo, johnthebaptist
 
Community Social Worker na Community Development Officer nadhani ni tu vyeo tuwili tofauti
 
Back
Top Bottom