johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
hahahaha JFUandishi wako umekaa kigashogasho, andika kama mwanaume. Kuhusu Diamond kinachompa nguvu ya kutunishiana misuli na Shenzi ni backup ya yule kaka yake asiyeshindwa kamwe
Bashote ndio naibu Rais na ndio mlezi wa WCB, nani mwenye jeuri ya kumgusa Diamond?Yaani hapo Shonza amekuwa mdogo kama pipi, ni watu ndo wameamua kumzungumzia maskini bongo hii!
Usichokijua ni kuwa hata wewe una uendeleza.Majibizano yalikuwa kati ya NW Juliana na Msanii Diamond na NW akatuasa wananchi tumpuuze Diamond na kufunga mjadala. Sasa kuna watu wsnaibuka na kuufufua mjadala ambao kimsingi umeshafungwa, sijajua wanafaidika vipi zaidi ya kutafuta kiki kupitia migongo ya Jully na Dai. Hayo yamepita twende tukachape kazi sasa!
Kuwa mjenzi huru wa muziki kuna tatizo?Acha ijinga wewee, SHONZA yupo sahihi, Hili li free mason linapewa kiburi na mipete lilipowe huko Congo, na pia NAIBU RAIS ni mshauri wao, ndiyo kinajivunia
Acha ijinga wewee, SHONZA yupo sahihi, Hili li free mason linapewa kiburi na mipete lilipowe huko Congo, na pia NAIBU RAIS ni mshauri wao, ndiyo kinajivunia
Uandishi wako umekaa kigashogasho, andika kama mwanaume. Kuhusu Diamond kinachompa nguvu ya kutunishiana misuli na Shenzi ni backup ya yule kaka yake asiyeshindwa kamwe
HahahahahaaaBashote ndio naibu Rais na ndio mlezi wa WCB, nani mwenye jeuri ya kumgusa Diamond?
Huyo Shonza kama hamjui naibu Rais akamuulize Nape atamuelezea uzuri.