Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Mnajidai kufungia nyimbo ambazo zimeshawaingizia kodi, hii awamu itatutesa sana kiuchumi
 
Waziri badala ya kukaa na wasanii ambao wengi ni vijana wenzake kuzungumza nao na kuona namna bora ya kuwasaidia na kukuza uchumi wao anaanza na sijui maadili, yeye mwenyewe hana maadili yoyote tunamjua toka bungeni ni muongea hovyo tu halafu leo anazungumzia maadili.
 
Kbsaa
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Unajua maana ya hallelujah?
 
hii ishu ya Dai na Shonza najiuliza ingelikuwa ni msani uchwara anaye jibizana naye si sasa hivi keshapakizwa kwenye Noa?? na dai akifungwa nani atapeperusha bendera huko wapi ah kule rashia ao bendera atapewa kiba100???
 
hii ishu ya Dai na Shonza najiuliza ingelikuwa ni msani uchwara anaye jibizana naye si sasa hivi keshapakizwa kwenye Noa?? na dai akifungwa nani atapeperusha bendera huko wapi ah kule rashia ao bendera atapewa kiba100???
Ataipeperusha shonza mwenyewe
 
Backup aliyonayo ni kubwa maana Bashite na Mkulu ni kama kidole na kucha
Jiulize kwanini mkulu alionya wasanii wakiume kutumia picha za utupu kwenye video zao?maana baada ya Magu kuongea speed ya fungia fungia ndo ilipoanza kama sikosei kipindi Mondi ana release video ya Waka.Magu aliona ile misambwanada ndani ya G strings.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hapo Shonza amekuwa mdogo kama pipi, ni watu ndo wameamua kumzungumzia maskini bongo hii!
 
Manaake Manji ndo kawa mbwaa sio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…