Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Mnajidai kufungia nyimbo ambazo zimeshawaingizia kodi, hii awamu itatutesa sana kiuchumi
 
Waziri badala ya kukaa na wasanii ambao wengi ni vijana wenzake kuzungumza nao na kuona namna bora ya kuwasaidia na kukuza uchumi wao anaanza na sijui maadili, yeye mwenyewe hana maadili yoyote tunamjua toka bungeni ni muongea hovyo tu halafu leo anazungumzia maadili.
 
Serikali ya Tanzania na vyombo vyake(wizara,Basata, na TCRA) HAVINA MSAADA WOWOTE kwa wasanii, wamefight mpaka kufika hapo walipo, leo hii kijitu from no where kimepewa mamlaka kwa njia zisizofahamika nacho kinatafuta umaarufu kupitia wasanii waliopambana kwa nguvu zao na wanachangia pato kubwa la taifa pamoja na kutoa ajira. Nenda Kenya/South Diamond huko ndio kuna binadamu hapa Bongo Bahati mbaya *****.
Kbsaa
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Unajua maana ya hallelujah?
 
hii ishu ya Dai na Shonza najiuliza ingelikuwa ni msani uchwara anaye jibizana naye si sasa hivi keshapakizwa kwenye Noa?? na dai akifungwa nani atapeperusha bendera huko wapi ah kule rashia ao bendera atapewa kiba100???
 
hii ishu ya Dai na Shonza najiuliza ingelikuwa ni msani uchwara anaye jibizana naye si sasa hivi keshapakizwa kwenye Noa?? na dai akifungwa nani atapeperusha bendera huko wapi ah kule rashia ao bendera atapewa kiba100???
Ataipeperusha shonza mwenyewe
 
Backup aliyonayo ni kubwa maana Bashite na Mkulu ni kama kidole na kucha
Jiulize kwanini mkulu alionya wasanii wakiume kutumia picha za utupu kwenye video zao?maana baada ya Magu kuongea speed ya fungia fungia ndo ilipoanza kama sikosei kipindi Mondi ana release video ya Waka.Magu aliona ile misambwanada ndani ya G strings.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hapo Shonza amekuwa mdogo kama pipi, ni watu ndo wameamua kumzungumzia maskini bongo hii!
 
Ila kwenye hii vita Shonza atashinda mark my word, sababu Mkulu alishawahi kumuonya wazi Diamond lakini hakumtaja, alisema mtu ye anavaa vizuri mwanamke anamuweka uçhi, so kwa mawazo yangu ukichanganya na akili za Shonza naamini Shonza anafata maelekezo ya mkulu na nia ilikuwa kumprovoke Diamond awe mbogo , atoke nje ya mstari ili wamnyooshe, kwa inteview ile Diamond kaingia mtegoni, their soon going to take further actions against him and you will not believe.Unakumbuka siku Manji anamwita Makonda Umbwa ? What happened next?
Manaake Manji ndo kawa mbwaa sio??
 
Back
Top Bottom