Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Huo wimbo hauwezi kumkwaza mkristo kwa sababu yeyote achene kuanzisha mambo ya kijinga.
Hatuwezi kukubali wanamuziki waharibu kizazi chetu kwa kutunga miziki isiyo na maadili eti kisa wanamuziki wanatafuta ela ya " pampasi" za watoto wao. Kama unataka biashara ya muziki inoge nchi fuata taratibu zilizopo.
Angekuwa makini hasingetumi mamilioni anayodai kutoa kitu cha hovyo! Hata hivyo walielezwa warekebishe wakagoma...wanalalamika nini sasa.
Taratibu zilizopo zinasemaje?
 
Kufuatia mwanamuziki wa bongo fleva kumlalamikia Naibu Waziri wa sanaa kuwa hawatendei haki wasanii kwa kuwafungia bila utaratibu, NW huyo ameibuka na kusema serikali haiwezi kujibishana na mtu aina ya Dimond na kwahiyo apuuzwe. Source mcl digital!
Ni kweli hawezi kujibizana na Diamond kwakuwa hana hoja za kujibizana naye. Unapokuwa huna hoja sasa unajibu nini zaidi ya kunyamaza au kutoa kauli ya kujitetea kama hii ambayo ni kama kuonesha yeye ni mkubwa sana na Diamond sio size yake. Hakuna lolote zaidi kukosa hoja!
 
MumbaZ "Alete malalamiko ofisini au aandike BALUA"(matamshi ya NW huwa hana R)mbona wakati wa kumfungia Roma Mkatoliki hamkumpa barua ya kumwita badala yake mlimtumia sms. Ndio utaratibu/
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Mimi mkristo sijasikitika wala kukwazika Hallelujah=Halleluia maana yake ni utukufu kwa Mungu na wala sio la kikristo tu sioni kosa lolote hapo. Someni Biblia muielewe vizuri
 
Its only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence.
And if ti lands on ones vagina the problems will be solved quickly and peacefully
 
Unadai kama kuna mtu kaonewa afate sheria za kiofisi ikiwa ni kwenda au kuandika barua sio kwenye media hapo hapo haya maagizo yako umeyatolea kwenye media.
Mtu huyo huyo anasema hajapokea hizo ban za nyimbo zake kwakuwa hazijaja kiofisi

Huyu mh angejikalia kimya tu.
 
Serikali ya Tanzania na vyombo vyake(wizara,Basata, na TCRA) HAVINA MSAADA WOWOTE kwa wasanii, wamefight mpaka kufika hapo walipo, leo hii kijitu from no where kimepewa mamlaka kwa njia zisizofahamika nacho kinatafuta umaarufu kupitia wasanii waliopambana kwa nguvu zao na wanachangia pato kubwa la taifa pamoja na kutoa ajira. Nenda Kenya/South Diamond huko ndio kuna binadamu hapa Bongo Bahati mbaya *****.
Kweli mkuu inauma
 
Kama hutaki nimtaje mwambie aache uraisi. As long as ni raisi nitamtaja kila nikijisikia.

Me nalima mashamba silimi bustani. Uko ulipo kuna mashamba au bustani??

Ha ha ha haaaaa
Naona mahaba tele kwa Mheshimiwa

Ati bustani oyaaaaaa.. shauri zako..
 
"Hivi leo unanifungia nyimbo yangu niliyoitengeneza kwa mamilioni ya pesa unadhani nitazirudishaje, au unadhani watoto wangu Nillan, Dyllan na Tiffah watanunuliwa na nini ‘pampas’? Ifike mahali viongozi wetu wavae viatu vyetu na si kuona raha tu kutufungia wakati tumetaabika katika kuyajenga majina yetu hadi sasa tunajulikana duniani," amesema Diamond.
 
Back
Top Bottom