hhaahahah,nimekuelewa vizuri sana. hahahahahhahah. mambo ya iD zaidi ya moja. hahahahahahahhha Juliana ShonzaWakudadavuwa naomba maoni yako hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhaahahah,nimekuelewa vizuri sana. hahahahahhahah. mambo ya iD zaidi ya moja. hahahahahahahhha Juliana ShonzaWakudadavuwa naomba maoni yako hapa
Huo wimbo hauwezi kumkwaza mkristo kwa sababu yeyote achene kuanzisha mambo ya kijinga.Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Taratibu zilizopo zinasemaje?Hatuwezi kukubali wanamuziki waharibu kizazi chetu kwa kutunga miziki isiyo na maadili eti kisa wanamuziki wanatafuta ela ya " pampasi" za watoto wao. Kama unataka biashara ya muziki inoge nchi fuata taratibu zilizopo.
Angekuwa makini hasingetumi mamilioni anayodai kutoa kitu cha hovyo! Hata hivyo walielezwa warekebishe wakagoma...wanalalamika nini sasa.
Hahahaa uyu mindinahc nyuma yake kuna watu wasio julikanaBoss wake kamsifia mond kwenda kutumbuiza Russia.
Ni kweli hawezi kujibizana na Diamond kwakuwa hana hoja za kujibizana naye. Unapokuwa huna hoja sasa unajibu nini zaidi ya kunyamaza au kutoa kauli ya kujitetea kama hii ambayo ni kama kuonesha yeye ni mkubwa sana na Diamond sio size yake. Hakuna lolote zaidi kukosa hoja!Kufuatia mwanamuziki wa bongo fleva kumlalamikia Naibu Waziri wa sanaa kuwa hawatendei haki wasanii kwa kuwafungia bila utaratibu, NW huyo ameibuka na kusema serikali haiwezi kujibishana na mtu aina ya Dimond na kwahiyo apuuzwe. Source mcl digital!
Mimi mkristo sijasikitika wala kukwazika Hallelujah=Halleluia maana yake ni utukufu kwa Mungu na wala sio la kikristo tu sioni kosa lolote hapo. Someni Biblia muielewe vizuriDiamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
And if ti lands on ones vagina the problems will be solved quickly and peacefullyIts only when a mosquito lands on your testicles, that you realize there is always a way to solve problems without using violence.
Kashamjibu!..uyu dada nae kuna kitu anakitafuta kwa Diamond ....ukiona traffic wa kike anakupiga mkono kila week hakosi kukagua gari yako,nenda uongee nae VIZURISa mbon kesha mjibu. Au alikua anawaza kwa sauti???
Hakika....Kashamjibu!..uyu dada nae kuna kitu anakitafuta kwa Diamond ....ukiona traffic wa kike anakupiga mkono kila week hakosi kukagua gari yako,nenda uongee nae VIZURI
Kweli mkuu inaumaSerikali ya Tanzania na vyombo vyake(wizara,Basata, na TCRA) HAVINA MSAADA WOWOTE kwa wasanii, wamefight mpaka kufika hapo walipo, leo hii kijitu from no where kimepewa mamlaka kwa njia zisizofahamika nacho kinatafuta umaarufu kupitia wasanii waliopambana kwa nguvu zao na wanachangia pato kubwa la taifa pamoja na kutoa ajira. Nenda Kenya/South Diamond huko ndio kuna binadamu hapa Bongo Bahati mbaya *****.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]DAIMOND NAONA ANAANZA KUCHEKA KIHUTU HAHAHAHAHAHAHAAAAAA
Kama hutaki nimtaje mwambie aache uraisi. As long as ni raisi nitamtaja kila nikijisikia.
Me nalima mashamba silimi bustani. Uko ulipo kuna mashamba au bustani??
Wafuate BASATA, TCRA ukishindwa kuzipata huko nenda wizarani kabisa wanakojishughulisha na masuala ya sanaa na utamaduni.Taratibu zilizopo zinasemaje?